Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio amekataa mkopo wa $400m karibu sawa na Tshilingi trillion 1 (TZS 1t) kutoka China wa kujengewa uwanja mpya wa ndege uliopewa jina la Mamamah International Airport.
Bio imemwambia rais Xi wa China "Thanks but no thanks". Amesema kuwa uwanja uliopo unatosha na unakidhi mahitaji ya nchi, "there's no need for a new airport, the project is 'uneconomical' given its only existing international airport is “grossly under-utilized”.
Sinabudi kuipongeza serikali ya Sierra Leone na rais Bio kwa maamuzi ya kuigwa ukizingatia Sierra Leone ni moja ya nchi masikini duniani iliyo kundi moja sawa na Tanzania.
Maamuzi ya rais Bio yanapaswa kuigwa na viongozi wote wa bara la Afrika kwa viongozi kutopokea mikopo na misaada isiyo na faida kwa wananchi wao, si tu kutoka China bali kutoka kwa mataifa yote yenye mikopo ya masharti ya kuweka "collateral" maliasili za taifa na huduma za jamii, tayari China imeonyesha mfano mbaya wa mikopo yake, China inaushikilia uwanja wa ndege wa Kaunda Zambia.