Tujifunze kutoka India: Serikali yazuia Wanafunzi kupewa 'homework' na kubebeshwa mabegi mazito

Sidhani vipindi vilitakiwa kuwa 12+ naona vilitakiwa kuwa 5.
Nakumbuka enzi zangu tulikuwa na kipindi dk. 40 halafu kuna mapumziko baada ya vipindi vitatu. Some times vipindi kama English vilikuwa vinachukua 80 mn. meaning kuna Literature na structure ambavyo vinahitaji daftari tofauti. Hivi siku hizi hakuna cookery na needlework? Vipindi nilivyovichukia sababu nilikuwa tom boy. Tulikuwa tunakunywa chai saa nne na mlo saa saba. Tulikuwa tunatoka darasani saa tisa hivi au nane nimesahau ila tulikuwa tuna sports, usafi na kupumzika kama hamna zamu ya hivyo. Those were my days.
 
Naona serikali iingilie kati iweke library ndogondogo watoto wakitoka shule waende kujipatia maarifa mapya.
Kuna shule haziruhusu mtoto kusoma tuition wanajiamini kuwa walichofundisha kinatosha na si kazi ya mzazi kumwongezea tuition.Mfano ni shule ya Marian Girls secondary school iliyoko bagamoyo ambayo hufanya vizuri mno kitaifa.Hawataki mtoto aende tuition ya yeyote
 
Kwani begi mtoto analibeba anatembea umbali gani maana anatoka mlangoni anaingia kwenye school bus na anatoka darasani anaigia kwenye school bus sasa hiyo labda kwa shule za kayumba au shule za kata napo sijui kama wanapewaga homewok maana mi nilisoma kayumba enzi hizo hamna homework wala nini na dhule ya kata vilevile ham a homework wala nini tena daftari nlikua nabeba kwenye malboro wala sio kwenye begi

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule za serikali nyingi hazina homework Wala Ripoti ya masomo ya ya mtoto ya kumpa mzazi iwe ya mtihanii au yeyote kwa mzazi hakuna .Mtoto mwenyewe atajijua cha kumwambia mzazi akimdanganya kuwa kawa wa kwanza kitabia na kimasomo wakati kawa wa mwisho ni shauri yake mwenyewe.Ndio maana wazazi wengine ni maskini lakini wako tayari wasiwe na nyumba nzuri au maisha mazuri ila mtoto asome private iwe kwa mikopo ya saccos ,kazini ,mifugo nk ili mradi mtoto asome private shule nzuri at any cost iwe ya kuishi maisha duni kwa mshahara wote kuishia kulipa ada nk
 
Nakumbuka enzi zangu tulikuwa na kipindi dk. 40 halafu kuna mapumziko baada ya vipindi vitatu. Some times vipindi kama English vilikuwa vinachukua 80 mn. meaning kuna Literature na structure ambavyo vinahitaji daftari tofauti. Hivi siku hizi hakuna cookery na needlework? Vipindi nilivyovichukia sababu nilikuwa tom boy. Tulikuwa tunakunywa chai saa nne na mlo saa saba. Tulikuwa tunatoka darasani saa tisa hivi au nane nimesahau ila tulikuwa tuna sports, usafi na kupumzika kama hamna zamu ya hivyo. Those were my days.
Jamani hadi raha, same to Switzerland vipindi ni 5, Sports michezo 3 lazima uchague na kushiriki.
 
Kuna shule haziruhusu mtoto kusoma tuition wanajiamini kuwa walichofundisha kinatosha na si kazi ya mzazi kumwongezea tuition.Mfano ni shule ya Marian Girls secondary school iliyoko bagamoyo ambayo hufanya vizuri mno kitaifa.Hawataki mtoto aende tuition ya yeyote
Sijasema tution
Nimesema library
Ndani ya library watasoma vitu vingine nje ya masomo,
Ikiwemo vitabu vya kisayansi
Kiuchumi na mambo mengine
Vitabu mara nyingi huwa vimespecify kwenye topic moja,
Mtoto atakachokuwa anakipendelea itakuwa rahisi kufahamu muelekeo wake..
Ma pia anafunguka akili na uwezo wa kuelewa mambo unapanuka
Na anajifurahisha kwa kukutana na watu wapya pia.

Siyo kila mara mtoto akariri vitu.
 
Shule za serikali nyingi hazina homework Wala Ripoti ya masomo ya ya mtoto ya kumpa mzazi iwe ya mtihanii au yeyote kwa mzazi hakuna .Mtoto mwenyewe atajijua cha kumwambia mzazi akimdanganya kuwa kawa wa kwanza kitabia na kimasomo wakati kawa wa mwisho ni shauri yake mwenyewe.Ndio maana wazazi wengine ni maskini lakini wako tayari wasiwe na nyumba nzuri au maisha mazuri ila mtoto asome private iwe kwa mikopo ya saccos ,kazini ,mifugo nk ili mradi mtoto asome private shule nzuri at any cost iwe ya kuishi maisha duni kwa mshahara wote kuishia kulipa ada nk
You are right, ndo maana nasema swala la kusema mabegi yanawavunja watoto migongo sio kweli maana kama mimi mwanangu asubuhi school bus inamchukua mlangoni na akiingia kuna sehemu special ya kuweka mabegi kwa hiyo kusema anazurura na begi umbali mrefu sio kweli bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema tution
Nimesema library
Ndani ya library watasoma vitu vingine nje ya masomo,
Ikiwemo vitabu vya kisayansi
Kiuchumi na mambo mengine
Vitabu mara nyingi huwa vimespecify kwenye topic moja,
Mtoto atakachokuwa anakipendelea itakuwa rahisi kufahamu muelekeo wake..
Ma pia anafunguka akili na uwezo wa kuelewa mambo unapanuka
Na anajifurahisha kwa kukutana na watu wapya pia.

Siyo kila mara mtoto akariri vitu.
Library siku hizi ziko kiganyani kwenye simu elimu yeyote ya anachotaka kusoma mtu imo humo.Kinachotakiwa ni kuwa na washauri wa career mashuleni na vyuo ili kuwapa guidance ya nini wasome iwe mitandaoni au hizo library sababu mtoto hata akienda maktaba hawezi tu kwenda soma kama mwehu anachukua kitabu chochote kama mpiga ramli na kuanza kusoma
 
Umwanzishie mtoto wa primary library ya kwenye simu?
Unafahamu umuhimu wa community libraries?
 
Kizazi cha broila, kila kazi kwa mtoto tunadhani ni mateso na hawezi.... wakati huo huo hizo shule tumezichagua wenyewe na tunajua sababu ya kufanya vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umwanzishie mtoto wa primary library ya kwenye simu?
Unafahamu umuhimu wa community libraries?
Sasa hivi reading culture ya hard copy za vitabu imeshuka imebaki mashuleni na vyuoni kwa sababu ni lazima asome.Digital library ndizo zinashika Kasi kubwa
 
Wewe Utakuwa ni mwalimu zuzu sana,umeambiwa ishu ya ku-introduce topic mpya kwenye homework halafu umekazania ya kubeba bag,na hjku ukiunga mkono hili suala la kuchomekea vitu vipya usibyofundisha kwa mwanafunzi wa lower class.
Homework inadhamiria kupima uelewa wa mtoto kwenye kile ulichomfundisha shuleni,badala hake wewe unafanya homework ni reserch.
Mwalimu na walimu wenzio,acheni kukwepa wajibu wenu wa kufundisha watoto na kuwapima,sisi tukiwanao jioni tuone uwezo wa kupata majibu kutoka pale ulipofundisha,acheni kutaka dezo kwenye jasho letu.
Unapompa mtoto kazi ya nyumbani isiyofanan na kile jlichomfundisha unampima nini,kama si kutaka kazi yenu ifanywe na wazazi,ndiyo maana walimu wengi ni VILAZA.
Next week naanza kutaja vilaza na shjle zao.
Acheni watoto wasome.Chukulia mfano mtoto wa darsa la 3 mwenye miaka 8, anashindwa vpi kubeba begi la daftar 9 na vitabu?Huko ni kuendekeza watoto.Acheni wajifunze kuwa responsible juu ya maisha yao.Mtoto kazi yake ni kusoma wachen wafanye yoote yanayohusiana na shule.

Mwalim anapotoa homework kwa mtoto ni wajib wako mzazi kumsaidia sio kumfanyia.Hii imamjengea mtoto dhana ya kujisimamia katika mambo yake ww unapaswa kumwongoza tu.Pia mtoto kurud na homework ni fursa kwa mzazi ku analyze uelewa wa mtoto juu ya yale anayojifunza sasa inakuaje mnawalaum walim eti wasiwape homewrok watoto??
Mtoto kuacha daftar shulen sijui kwenye locker binafsi siungi mkono mana mwisho wa siku hujui ni ukaribu kiasi gan mwalim anao wa kuweza kumsimamia kila mtoto darasan aandike vizur hivyo anaporud na daftar zote home unapata fursa ya kufanya ukaguz kama mzazi na kumkosoa pia kimsaidia mtoto.
Lakin pia kurud na daftar za homework tu hakukupi mzazi fursa ya kumjua vyema mwanao ana uwezo zaid kwenye masomo gan ili uzid kumu encourage pia wapi ana sua sua ili uzid kumsaidia.Pia hii itakusaidia hata unapo wa consult waalim uwe specific juu ya wap mwanao jnadhan anahitaji msaada zaid.

Nashauri muwaache watoto waendlee na mambo yao.Waachen wabebe mabegi yao.Kuna daftar za aina nyingi now day ambazo unaweza akawa anatumia mwanao ambazo si nzito hata zikiwa 9 .tofauti na zile counyer book za enz zetu.

Uzur watoto hawa wa english medium huwa hawapigwi sana fimbo kama sisi enzi zetu so let them bear atleast this part, trust me itawajenga.Wakikia huku mtaani hayo ndio maisha.Sio lelemama kama tunavyotaka waamini
 
Nimekua nikijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kuhusu elimu ya sasa, nashindwa kuelewa elimu imebadilika tofauti na niliyosoma mimi au waalimu wetu ndio walikua hawafundishi.

Siku hizi unakutana na mtoto wa darasa la pili amebeba begi zito hadi mgongo unataka kupinda, hasa hizi zinazoitwa english medium schools. Nakumbuka enzi nasoma darasa la pili tulikua na masomo 2 tu, kusoma na kuandika. Leo mtoto wa darasa la pili ana masomo karibu 9 alafu hakuna ratiba ya kesho atasoma somo lipi hivyo inamlazimu kuchukua kwenye begi lake madaftari yote 9 na vitabu vyake maana haijulikani mwalimu gani ataingia.

Huko India serikali imepiga marufuku homework kwa watoto wadogo ili kuwalinda na athari za kupimda migongo kutokana na walimu kuwarundikia kazi.

Hizi shule za english medium zitaua watoto.View attachment 1020502
Mnataka kuiga tembo kunya
 
Back
Top Bottom