Tujifunze kupitia kwa wenzetu wa Libya ya Muammar Gaddafi

Umeandika vizuri saaana na ulichonifurahisha zaidi hujamringanisha GENIUS Gaddaf na huyu bichwa maji wetu hongera saaana

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Naamin hujaielewa post hii

Sent using Jamii Forums mobile app

..Gaddafi alishirikiana na Amini kuua askari wetu vitani Uganda.

..haiyumkiniki waTz tuanze kumsifia mhuni wa aina hiyo

..nilimshangaa Magufuli alipoonyesha kumkubali Gaddafi. Kwa kufanya vile alidharau mchango wa mashujaa wetu waliopigana dhidi ya Amini na Gaddafi.
 
Bado hujaelewa hiyo post,jifunze kusoma na kuelewa,mihemuko haitakusaidia kwenye maisha yako,kuna mafundisho muhimu sana ndani ya hiyo post.

Wewe unaleta tumistari tutatu Gaddafi alishirikiana na Amin kuua askari wetu,shame!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaelewa hiyo post,jifunze kusoma na kuelewa,mihemuko haitakusaidia kwenye maisha yako,kuna mafundisho muhimu sana ndani ya hiyo post.

Wewe unaleta tumistari tutatu Gaddafi alishirikiana na Amin kuua askari wetu,shame!

Sent using Jamii Forums mobile app

..kwani ni uongo kuwa Amini na Gaddafi walitupiga vita?

..vijana acheni KUMTUKUZA mhuni Muamar Gaddafi.
 
Kwa kifupi hamna Mtu wa kukubsli kufugwa kama Mifugo ,umpe Huduma zote Muhimu bure na umuwekee Miundombinu mizuri (kwa Kodi-Pesa yake)akini umzuie kuzungumza chochote !!!.🙄

Haiwezekani hata Siku moja ,Siku atakapo pata Nafasi atakufanya vibaya tu.Ng'ombe mwenyewe ukimfungia sana Zizini Siku unamfungua na kumuweka Huru atakusumbua sana Wakati wa kutaka kumtudisha..
 
Alikuwa mkosaji ila kwa uhuni waliomfanyia kama binadam mwenzao acha tu wakose amani kwenye nchi yao.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mtu anataka kusifia ubabe na roho mbaya ya Jiwe, anatumia mfano wa Gadafi na libya

Tunisia na Egypt walifanya civilian revolution wakati mmoja na Libya na wako sawa tu

Wapo wajinga kila siku wana lete post za kutetea udikteta..Nashindwa kuelewa..kwa nini wanapenda udikteta? Wanataka Dikteta Tanzania?

Wanapenda kutumia mifano mibaya michache mibaya..ila Mifano mizuri mingi hawatumiii

Egypt na Tunisia vipi....
 
Asante sana mleta maada
Hakika wewe ni mtu adili na unaona mbali
Baraka za Mwenyezi Mungu ziwe na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa Mtu anae fikiri sawa sawa hawezi kukubali kulamba Soli za Wakubwa ,Utawala wowote una tokana na Watu ni kwa nini unataka wafungwe Mdomo.

Pia mleta Mada ameweka Sababu moja ya kuondolewa kwake ,hivyo Sababu moja haiwezi kuwa ndio hitimisho la kuondolewa kwa Mtu huyu Madarakani.
 
Kwa sasa Libya ina Central bank mbili. NATO hawakuamua kumsaidia MLibya.
 
Na sisi tuko busy tunamtengeneza Qadafi wetu ili siku ikifika tufurahie kumtoa kwenye kalavati. Povu la omo ruksa.....
Hahahhahaha!!! Imebidi nicheke sana japo nina masikitiko ya kifo cha mwamba Canal Gaddafi!

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Back
Top Bottom