Tujifunze kukubali kifo ni sehemu ya maisha pia........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
12_11_mhuubh.jpg

Catholics pray before the remains of St Don Bosco at the St Joseph Cathedral in Dar es Salaam on Wednesday. Don Bosco's body is making a tour around the world to mark 200 years of his birth and 150 years of the Salesians community. (Photo by Fadhili Akida)
 
Mimi ni Mkatoliki lakini hizi imani za kishirikina siziafiki......................ninaamini aliyekufa hana uwezo wa kukuombea.........yupo kimya akisubiri hukumu yake siku ya mwisho.....................soma Psalms kwa ufafanuzi wa ziada.....

Psalms 6:5 "For in death there is no remembrance of You; in the grave who will give You thanks?"

Mathew 22:32 'I am the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob'? God is not the God of the dead but of the living."
 
bible ni pana sana na kila mtu anaielewa kivyake

ni lazima uongozwe na ROHO MTAKATIFU ili uweze kupata tafsiri sahihi....................ukikurupuka kama hawa waheshimiwa utaanza kuabudu miungu ambayo hata huhifahamu...........sielewi kwa nini huyu Mtakatifu don Bosco hajazikwa hadi leo...........

soma DEUTORONOMY 34: 5-6 " So Moses the servant of the LORD died there in the land of Moab, according to the word of the LORD. And He buried him in a valley in the land of Moab, opposite Beth Peor; but no one knows his grave to this day."

Kama Mwenyezi Mungu aliona busara na hekima ya kumzika mtumishi wake Musa yawaje sisi tung'ang'anie maiti?
 
Mimi ni Mkatoliki lakini hizi imani za kishirikina siziafiki......................ninaamini aliyekufa hana uwezo wa kukuombea.........yupo kimya akisubiri hukumu yake siku ya mwisho.....................soma Psalms kwa ufafanuzi wa ziada.....

Psalms 6:5 "For in death there is no remembrance of You; in the grave who will give You thanks?"

Mathew 22:32 'I am the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob'? God is not the God of the dead but of the living."
Ninachoshangaa huwa hao watakatifu wengi wametoka Italy na Ulaya......
 
12_11_mhuubh.jpg

Catholics pray before the remains of St Don Bosco at the St Joseph Cathedral in Dar es Salaam on Wednesday. Don Bosco’s body is making a tour around the world to mark 200 years of his birth and 150 years of the Salesians community. (Photo by Fadhili Akida)
Mkuu hizi ni Ibada za sanamu.....ni kama vile kusali Rozali,Kubusu au kusujudia sanamu za bikira maria au Yesu.…kwa sababu Biblia ina Kuomba kwa imani katika Jina la Yesu (Yohana 14:13, 16:23, Matendo 3:16).
 
Hii sio biashara kweli?? Mi navyojua Biblia inakataa ibada za wafu na hii ni mojawapo this is not right
 
bible ni pana sana na kila mtu anaielewa kivyake

pole sana ndg yangu,ikiwa mbingu ni moja hata kuelewa neno la mungu lazima kuwe kumoja, ukiona tofauti yeyote jua kuna makosa ,tafuta kweli ni ipi, ukitaka kuelewa pasipo kwanza kuamini hutakaa ulielewe neno la mungu hata siku moja, maana sio kwa uwezo wetu bali kwa kuwezeshwa, nabii yeremia alitakaswa kwa kaa la moto, wanafunzi wa yesu wenyewe walikuwa hawamwelewi wakabishana wao kwa wao ktk mafundisho mbalimbali mpaka walipompokea roho mtakatifu.
 
hapo kwenye red sio yeremia ni nabii isaya
 
hapo kwenye red sio yeremia ni nabii isaya
"Mkila Tunda la Mti huu hakika Mtakufa"

Hapo ndipo napoipendea Bible ,Kila mstari una uwezo wa Kuanzisha Kanisa.Halafu hiyo hiyo moja wote wanaisoma ,ila tafsiri yake sasa,manabiii kibaoooo!!!na kila mmoja anaponya, kila mmoja ana roho mtakatifu kuliko wengine,mnabaki kuumbuana wenyewe.Lakini mwisho wa yote wote ni vipofu mnaoongozana njia ...Hizi dini hazikufaa huku kwetu.
 
Duh Imani ni jambo la ajabu sana hawa jamaa wamekazana kuweka mikono kwenye jeneza la maiti ya Don Bosco utadhani Bible inaandikwa kimakonde kumbe imetafsiriwa kwa lugha mbali mbali Kiswahili kikiwemo Wafuu hawana nguvu juu yetu wala hawawezi kutuombea wala hatuna uwezo wa kuwaombea ikiwa waliishi vibaya wakati wa uhai wao.

Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

12_11_mhuubh.jpg
 
Mwanadamu akishakufa safari yake ndo imekwisha hata tukimuomba au tukimuombea hatupati msaada wowote kwa sababu Mungu wetu si Mungu wa wafu badi wa walio hai, huyo safari yake imekwisha cha kuangalia ni mimi na wewe siku ya mwisho tutakuwa wapi. huyo wala hana mawasiliano na Mungu kabisa.
 
The man was burried, but many years later when his grave was opened his body among other things remained the same...
 
Ninachoshangaa huwa hao watakatifu wengi wametoka Italy na Ulaya......

Wee ngoja tu.... baada ya kama miaka mingine 200 hivi tutajikuta tunaabudu makampuni ya wawekezaji barani mwetu!!!
"...shirika takatifu la Barrick"
"... kampuni takatifu ya Dowans"
"...saint Miller Group SA"
 
Back
Top Bottom