Tujifunze kuheshimu hisia za watu wengine

kuna mwanamke namkubali sana nmemfuatilia tangu mwaka jana April kaja kutiki mwaka huu mwezi wa 8. yuko vzr sana .Ngoma sasa nipo nae sasa hana shida na me ila sasa nikimwambia Nampenda ile romantically ananambia haniamini...

Shit!! miaka miwili sina demu mwingine zaidi yako afu unanambia upuuzi huu??

Asa nishapanga kumuacha na nina week sasa sijamtafuta..Nimeamua nakaa silent mode milele..Au nayumba wadau?
by thw way siwezi kuwa na mahusiano na mtu ambaye haniamini akati ukiwa na me kimahusiano lazima uwe peke ako sijawahi miliki wanawake zaidi ya mmoja in the time
 
Mpenzi wangu niliyenaye sasa nimemtongoza miaka 2.5 natongozaga tu hadi nimekuja mpata shurba ya kujipendekeza ilikua bab kubwa. By the way now she is the one who loves me extremely. So it depends

Mmh hii chai uliotunywesha, huyo dem hakupendi, kakukubali labda kwasababu unampa hela au kwasababu kakosa option ya wanaume wengine alumn
 
Dah haya mambo.. Niliwahi tongoza kama miaka miwili, nikaja kukubaliwa na nikaachwa ndani ya siku chache nikiwa hata papuchi sijala...

Ila hamna upumbavu ninaoujitiaga kama ule maana nilikuwa king'ang'anizi sana asikwambie mtu.

Lakini mwisho wa siku hali duni ndo ilikuwa sababu, saiz demu akileta habari nyeusi hata siwazi mara mbili naachana naye..
Kwamba mkuu unataka demu akukubalie kisa una hali nzuri kiuchumi? Sasa akitokea mwenye uchumi mzuri kiasi si atakuacha aende kwa huyo..amini nakwambia siku ukiwa na uchumi mzuri hutotaka mwanamke awe na wewe sababu ya uchumi wako
 
Huwaga sina utaratibu wa kuacha kutongoza/kukumbusha pale napotongoza halafu nikaona dalili nyemelezi za kukatariwa mutongozo wangu.

Huwa nawasumbua sana maana wengine wanakuwa na dalili za sitaki nataka

Sasa utongoze mara moja tu ukatalie ukate tamaa
 
Siyo kosa lake,, ni kutokana na hii kauli ya baadhi ya wanaume kwamba "hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe shoga" kwahiyo ni ngumu mwanamke kuamini kwamba eti kapata mwanaume wa peke yake hivyo msitulaumu sana ninyi ndiyo chanzo cha sisi kutokuwaamini..

By the way,, kama kweli unampenda hauwezi kutumia kisingizio kama hicho kumuacha ila kama haumpendi basi jikatae tu..
kuna mwanamke namkubali sana nmemfuatilia tangu mwaka jana April kaja kutiki mwaka huu mwezi wa 8. yuko vzr sana .Ngoma sasa nipo nae sasa hana shida na me ila sasa nikimwambia Nampenda ile romantically ananambia haniamini...

Shit!! miaka miwili sina demu mwingine zaidi yako afu unanambia upuuzi huu??

Asa nishapanga kumuacha na nina week sasa sijamtafuta..Nimeamua nakaa silent mode milele..Au nayumba wadau?
by thw way siwezi kuwa na mahusiano na mtu ambaye haniamini akati ukiwa na me kimahusiano lazima uwe peke ako sijawahi miliki wanawake zaidi ya mmoja in the time
 
Na ukiona kila siku wewe ndio unamtafuta mtu ukikaa kimya na yeye anakaa kimya. Basi jiongeze.
 
Siyo kosa lake,, ni kutokana na hii kauli ya baadhi ya wanaume kwamba "hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe shoga" kwahiyo ni ngumu mwanamke kuamini kwamba eti kapata mwanaume wa peke yake hivyo msitulaumu sana ninyi ndiyo chanzo cha sisi kutokuwaamini..

By the way,, kama kweli unampenda hauwezi kutumia kisingizio kama hicho kumuacha ila kama haumpendi basi jikatae tu..
nampenda sana kiukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom