Tujifunze Kitu Kutoka Kwa Spiderman wa Bongo

hatari kwa watoto kuliko mondi?nyimbo za nyuchi kila kukicha.

Penina na mwijaku na ma picha ya nyuchi ndo mnapenda?

Watoto mmewaharibu wenyew wala msimpe lawama spider ,anayetafuta riziki kwa jasho lake.watoto wenu wakiiga kutafuta riziki kuna hatari?

Hao watoto kama wana akili kama zako hizi usitegemee kuhalibika kwa spider iyo ni inhelitage
utaruhusu watoto wako watikise matako barabarani kisa wanajitafutia kipato, kuwa serious kijana
 
Watoto wataharibika kwakuwa wataiga mambo anayofanya, na ni kwasababu wanampenda spider man.

Ni hatare sana kwa watoto wetu huyu jamaa
Ila yule spider man wa ulaya hawamuigi sio!??

Wabongo pungezeni husdaa!!! Choyoo!! Chuki na Unaa.
 
Hebu acheni speculations za kindezi aiseeee... Kukata kiuno maana yake ni ushoga?? Umeshawahi kwenda miziki ya kikongo ya akina Nyoshi Elsa dat, Christian Bella na wengine? Uno linapigwa haswa... Wasanii wengi tuu wakata mauno na maisha yanaendelea. Sasa nyie tayari mbakimbilia ushoga wakati mashoga origino wamejaa kibao huko kitaa. Huyo dogo kafanya ubunifu wake ili maisha yaende na juzi nimekuta habari zake BBC na DW yaani tayari dogo yuko kimataifa wakati wewe unambwilambwila hapa JF ... Unaweza kukuta chaap kaitwa huko unyamwezini Hollywood who knows?? Kiufupi maisha Bongo yamekaba kama mechi ya juzi ya Simba na Yanga, sasa mtu akipata idea ya kumuingizia buku 5 mpaka 10 kwa siku mwache kabisa as long as havunji sheria za nchi na maadili yetu baasi... Kama kuna sehemu ya kumrekebisha na kumpa ushauri apewe ila mwacheni aendelee aisee.
Hivi wewe umeiona video yake moja tu ama??
Kina bella huwa wanakata mauno nyimbo za khadija kopa na taarabu nyingine??
Acha kutetea upuuzi ww, hivi kijana wako wa kiume akiwa anafanya vile utafurahia??
Yule dogo ana chembechembe za ushoga, mwanaume kamili kabisa huwezi kufanya uharo ule hata kujaribu tu huwezi.

Yani unatutikisia vimatako vyako wanaume kabisaa!??
Na kitu usichokijua sasa yule dogo pale anatafuta followers insta wala sio kweli kua anauza sijui matunda sijui anatembeza nini yote ile ni njia ya kusaka followers wajinga wajinga.
Na bahati mbaya kwa familia ya mleta uzi na nzuri kwa spider wa bongo ashampata mleta uzi tayari.
 
Kuwa shoga siyo lazima ushiriki ngono za jinsia moja,vitendo na mavazi vinaashiria ushoga,mfano Joti huwa anatengeneza matangazo ya Tv akiwa na manguo ya kike,ule ni ushoga pia.
 
Kwanini mna mnasibisha na Ushoga? Alisema yeye ni shoga au kisa anakata viuno ndio kishakua shoga?

Joti vipi na yeye Shoga??? Wale dancers wa band nao Mashoga??
Hao wote uliowataja wanaviashiria vya ushoga,ukivaa nguo chafu unakuwa mchafu hata kama wewe unatabia za kuwa msafi. Mwanaume kukata viuono hadharani ni ushoga.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom