Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Ripoti zinasema kuwa sekta ya afya taifa la #Brazil imeshindwa kukabiliana na uzito wa janga la Corona.
^Serikali inachimba makaburi 13,000 kwa maandalizi ya watu watakaokufa.
Itakumbukwa kuwa, Bolsonaro, Rais wa taifa hilo alitupilia mbali hatari ya #COVID19.
Itakumbukwa kuwa, Jair Bolsonaro, Rais wa taifa hilo la Amerika Kusini alitupilia mbali hatari ya #COVID19 kwa kusema ni mafua tu na yangeisha. Vilevile,alitoka katika mitaa ya Rio De Janeiro kuandamana pamoja na wananchi wanaopinga amri ya kuwataka kutotoka majumbani.
🎥@SkyNews
🎥@SkyNews Serengeti Post on Twitter