Tujiandae kurudi kwenye chukuchuku maana bei ya mafuta haishikiki

Nahisi itaondoka na mtu mkubwa sana na wa kusikitika watasikitika.
 
Naogopa kukujibu sana.

Hizo karanga na alizeti unalima wapi na kwa mvua hizi za Mungu.

Wapo wafadhili waliwahi kuja na miradi ya alizeti na ufuta, hela ikapigwa limebaki kuwa deni la taifa.

Uchumi wa kati.
Mimi ni mkulima wa karanga na malizeti tangu mwaka 1991. Makaranga huwa yanajazana migunia na migunia ndani kwangu. Sema watanzania wa siku hizi nasikia mnalima kwa njia ya mtandao. Sisi huku kwetu tunachuja mafuta ya maluzeti na karanga. Wala hizo mvua unazozisema sijui zinasumbua sisi kwetu wala hatuzioni.
 
Nazi bei yake nayo si ya mchezo mchezo
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Mkuu Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
LA sivyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Kwani ni wapi nimevunja sheria?
Unanifundisha somo la uraia leo?
Kwani ulipaji kodi Umeanza awamu hii?
Ni nani ambaye halipi kodi?
 
Kwani ni wapi nimevunja sheria?
Unanifundisha somo la uraia leo?
Kwani ulipaji kodi Umeanza awamu hii?
Ni nani ambaye halipi kodi?
Mkuu hii awamu wooote wanao Lia lia walikua wapiga dili sasa hawataki kubadilika kweli watateseka sana
Akina pole pole ni vijana wadogo wanatembelea viieitee
Unaijua vieite wewe!!!
 
Back
Top Bottom