Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,682
- 149,883
Kauli ya bwana February juu ya utawala uliopita alioitoa hivi karibuni huenda ndio inamgharimu leo hii.Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, iwapo bwana February atatemwa, kwa hasira, nae anaweza kutoa siri kuhusu tuhuma za wizi wa kura ili tu kukomoa chama chake na hata bwana mkubwa ingawa hapa yeye(bwana mkubwa) hahusiki sana ila kosa lake litakuwa ni kumfukuza.
Tuhuma hizi za wizi wa kura zilisemwa sana na kama kweli zilikuwepo,basi kupitia mvurugano huu tunaweza kupata ukweli wa nini kilifanyika maana inaonekana kinachotaka kuendelea kwa sasa ni kukomoana.
Hii yote ni laana tu inawatesa hawa watu.