tujenge urafiki na waume zetu

Changamoto za maisha ndio hufanya maisha ya urafiki kupotea,mume karudi nyumbani huku akiwa hana kitu mfukoni,mama unataka kucheka cheka nae hapo huwa ni ngumu,kila jambo lina wakati wake na nafasi yake,wakati mwingine urafiki ukizidi huleta madhara kwenye ndoa.
 
Changamoto za maisha
ndio hufanya maisha ya urafiki kupotea,mume karudi nyumbani huku akiwa
hana kitu mfukoni,mama unataka kucheka cheka nae hapo huwa ni ngumu,kila
jambo lina wakati wake na nafasi yake,wakati mwingine urafiki ukizidi
huleta madhara kwenye ndoa.
hiyo ni kweli lakini wengine hata mwisho wa mwezi hawana furaha nyumbani,hana kitu hivyohivyo anachohivyohivyo zaidi ya dagaa kauzu
 
We ukitaka urafiki na mumeo usimuombe HELAAA!!!!! Period! Mpaka ajisikie kukupa!!!!!!! Hapo swadaktaaaa! Papushka ananunaa haswaa akihisi kupigwa mizinga!

Kuna kipindi nilivokuwa mdogo Mamushka ananituma kamwambie baba yako nahitaji hela kadhaaa, na akikataa unganganie hadi nipewe. LOL!
 
Kwani ukicheka na mkeo hela zinazidi kukimbia? Au mifuko inatoboka? Ubinafsi tu. Nakuhakikishia, hata wafanyakazi wa serikali waliokosa mshahara hadi kati ya mwezi utawakuta wanacheka tu na hawana motivation ya kazi. Ila hawashindwi kucheka na kutaniana. Nuna basi tuone kama stress hazijakuzidi kimo.
Changamoto za maisha ndio hufanya maisha ya urafiki kupotea,mume karudi nyumbani huku akiwa hana kitu mfukoni,mama unataka kucheka cheka nae hapo huwa ni ngumu,kila jambo lina wakati wake na nafasi yake,wakati mwingine urafiki ukizidi huleta madhara kwenye ndoa.
 
He he he, kweli mtoa mada umetingwa.

Kama kulikuwa na chemistry angalau hata kiswahili tangu kuanza kwa mahusiano, sidhani mtashindwa tizamana hata mkiwa kwenye kipindi kigumu.

Haya mambo yaanza from day one mlivyoanza kuhusiana ilikuwaje.
 
wengine hata humuombi kitu zaidi ya dushelel!lakini muda wooote kanuna,yani hadi una hesabu mwaka huu unaoisha tumecheka mara ngapi?kazi ipo
We ukitaka urafiki na mumeo
usimuombe HELAAA!!!!! Period! Mpaka ajisikie kukupa!!!!!!! Hapo
swadaktaaaa! Papushka ananunaa haswaa akihisi kupigwa mizinga!

Kuna kipindi nilivokuwa mdogo Mamushka ananituma kamwambie baba yako
nahitaji hela kadhaaa, na akikataa unganganie hadi nipewe. LOL!
 
wengine hata humuombi kitu zaidi ya dushelel!lakini muda wooote kanuna,yani hadi una hesabu mwaka huu unaoisha tumecheka mara ngapi?kazi ipo

Mhhhhhhhhhh!!!!! FURAHA IKO WAPI!? by 20%
 
hiyo ni kweli lakini wengine hata mwisho wa mwezi hawana furaha nyumbani,hana kitu hivyohivyo anachohivyohivyo zaidi ya dagaa kauzu
Wanawake ni werevu sana na wanajua namna ya kuishi na waume zao hata kama wana ukauzu wa namna gani.
 
Kwani ukicheka na mkeo hela zinazidi kukimbia? Au mifuko inatoboka? Ubinafsi tu. Nakuhakikishia, hata wafanyakazi wa serikali waliokosa mshahara hadi kati ya mwezi utawakuta wanacheka tu na hawana motivation ya kazi. Ila hawashindwi kucheka na kutaniana. Nuna basi tuone kama stress hazijakuzidi kimo.
Tunaishi katika dunia yenye kila aina ya maisha,kuna ambao wanaweza kucheka na wake zao na hakuna tatizo ila kuna wengine hata iweje kucheka kwao ni ngumu sana,tukubaliane kuwa kila mwanadamu ni mfano kwa mwenzake kwa maana ya tabia na hata namna ambavyo watu huishi,isingewezekana kupata mada hii kama kusingekuwa na wanaume ambao hununa na hawana urafiki na wake zao,ila wakati mwingine si kila anayecheka anafuraha na anayenuna ana hasira au huzuni ni muonekano tu wa nje ambao bado hauwezi kukupa icha halisi ya kilichopo.
 
Aisee kuna majambazi yanajua kucheka. Anakuibia na anakuchekea mwanzo mwisho, hatari tupu kaka

Yaan nashindwa kuelewa ni aina gani hii ya mahusiano isiyo na urafiki...
Mie kwangu measkron ndio kila kitu, anajua wakati wa kunichekesha, kunitania, kunionya, kunibembeleza...
She is my best friend kwa kweli nami kwake hivyo hivyo...
 
Last edited by a moderator:
joseph kumbe unajua eeeh!
Najua nkole maana kuna wakati huwa nakuwa na hasira na mama watoto hutumia njia zake kuishusha hadi mwenyewe huwa nashangaa imeshukaje wakati nakuwa najiapia leo sicheki wala kutabasamu,wanawake Mungu kawapa uwezo ambao wanaume hatuna.
 
jose hebu nimegee maujanja huenda yakanisaidia kwa mzee wangu
Najua nkole maana
kuna wakati huwa nakuwa na hasira na mama watoto hutumia njia zake
kuishusha hadi mwenyewe huwa nashangaa imeshukaje wakati nakuwa najiapia
leo sicheki wala kutabasamu,wanawake Mungu kawapa uwezo ambao wanaume
hatuna.
 
jose hebu nimegee maujanja huenda yakanisaidia kwa mzee wangu
nkole inafaa nimwambie mama watoto anatumia ujanja gani maana yeye ndiye hunibadili mood hata kama nakuwa na hasira basi hutafuta namna ya kuzishusha kama si kuzimaliza kabisa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom