spacing
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 265
- 110
Ni wazo tu,kwa kuwa nchi nyingi za East Africa zinategemea Tanzania kwa % kubwa katika mahitaji yao chakula hususani Kenya,Uganda na South Sudan,na kwa kuwa nchi ya Kenya thamani yao ya fedha uko juu ukilinganisha na ya Tanzania kiasi kwamba wafanyabiashara ktoka Kenya wamekuwa wakinunua chakula chetu kwa bei kubwa kiasi kwamba wamesababisha upungufu Mkubwa wa chakula nchini.HIVYO BASI,JPM AJENGE HARAKA IWEZEKANAVYO UKUTA KATI YA KENYA NA TANZANIA KUZIBITI HUU URASIMU,NA GHARAMA YA KUUJENGA HUU UKUTA WAGHARAMIKIE WAO WAKENYA.ni maoni tu