environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Nitazitoa picha za maandamano yaliyofanyika nyuma ili kuwapa moyo ndugu zangu wenye uchungu wa nchi hiyo[TANZANIA]Tuache uwoga.siku tulivyoandamana tulipata vibali vyote ,na said mwema wa huku akatupa baraka.Na tulikaa kwenye fensi ya white house na mapango yetu mtaona.PIA KUTAKUWA NA DEBATE KUHUSU HATIMA YA TANZANIA .HII ITARUSHWA NA REDIO WPFW ,RADIO YA DEMOKRASIA ,WASHINGTON DC.LUGHA ITAKUWA KINGEREZA NAOMBA WOTE TUTOE MAONI SIKU HIYO.NITWATAALIFU MAPEMA,MAMBO TUNAYAPIKA.
PIGA SIMU 202 367 2761
Enviromentalist
PIGA SIMU 202 367 2761
Enviromentalist