Tujaribu kuwa siriazi kwa wale wanao toa contact za biashara humu ndani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujaribu kuwa siriazi kwa wale wanao toa contact za biashara humu ndani

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by CHASHA FARMING, Apr 17, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimeuliza hivyo kwa sababu kuna watu wamekuwa wakitoa kontact humu kwamba wao wana toa huduma fulani na wamekuwa wakitoa contact za simu, pamoja na email adress

  - Wakuu tatizo linkuja pale unapo anzisha mazungumzo nao kupitia email adress, ukituma email ya kwanza unaweza jibiwa baada ya siku mbili na ukituma ya pili haitajibiwa kamwe, sasa hapa nashindwa kuelewa ni kwa nini, je wanaona wanasumbuliwa? ni kwa nini wakatoa contact?

  - Mimi huwa na comnicate na wafanya baisahara wa kutoka kenya, nilisha wahi kutuma email kutaka ufafanuzi fulani, nilituma saa 5:45 usiku cha kusatajabisha saa 6:30 usiku huo huo nilijibiwa email yangu na nikatuma nyingine nikajibiwa usiku huo huo na nilisha wahi kufanya kwa kampuni kama tatu ikawa hivyo hivyo,

  - SASA KWA WATANZANIA WENZETU SIJUI KAMA TUKO SIRIAZIAZI AU TUNALAZIMISHWA, UNATUMA EMAIL INAJIBIWA BAADA YA SIKU KADHAA AU ISIJIBIWE,

  Watanzania lazima tuwe siriasi kama tunapenda kweli kufanya biashara, kunaushindani mkubwa sana kwa sasa
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Komandoo yaani umesema ukweli sie waTanzania katika suala la mawasiliano tupo poor sana hilo nakili.Hata mimi nilikua kampuni ambayo nafanyia kazi ilitaka kununua vitu vya karibia million 100 na nilivoingia kwenye google nikaona vinapatikana Dar kwenye kampuni mojawapo nikatuma email kuulizia sikujibiwa kwa siku nzima kesho yake nikapiga simu nikawaomba wanitumie qatation huezi amini mpaka leo sijatumiwa.Cha kustaajabu nivotuma email Kenya kuomba vitu hivo hivo nakuambia walinijibu email yangu ikiwa imeambatana na quatation so sisi tupo nyuma sana kibiashara pia nahisi hata hao wanaopewa jukumu la kuwasiliana hawako serious hata kidogo
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  ya mkuu nimetolea mfano wa hawa wahmu janvini, ingawa ni kwa watanzania wengi sana, wachina ukimtumia email kuulizia kitu fulani kama umeambatanisha na namba yako ya simu atakupigia na atakua anasisitiza mara kwa mara kukumbushia,

  - Wabongo hakuna cha kujibu wala kukumbushia, ndo maana mimi napenda sana wawekezaji wanao toka nje kuja kuwekeza kwetu huku, hata hao wachina wa kariakoo wako sahihi kabisa, na ni bora waje kwa wingi, make sisi watanzania tunaona hatuna shida kabisa, na hatufanyii biashara shida,

  - Nilisha wahi kumtumia mtu emai na nikawa ni meambatanisha na namba ya simu cha ajabu jamaa akawa ana bipu,badala ya kupiga,
  - Katika swala la customer care tuko nyuma vibaya mno
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  biashara ni inborn attitude wala siyo acquired from the envt pekee, wabongo tunategemea mazingira ytufundishe na hiyo ndio shida. wenzetu they were born as business man ukichanganya na skill za mazingira lazima wawe more outgiving kuliko sisi. hapa kwetu tumezoea mpaka nikose cha kufanya ndio nitaingia kwenye biashara wakati wenzetu wanazaliwa wakiwa na mawazo ya biashara.
   
Loading...