Tujalie hili limemtokea mwanamke halisi wa ki tanzania nini yangekuwa majibu yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujalie hili limemtokea mwanamke halisi wa ki tanzania nini yangekuwa majibu yake?

Discussion in 'Entertainment' started by Spear, Jun 1, 2009.

 1. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nigeria: Actress Rejects N90 Million, Shuns Nude Role in Hollywood

  The deal was highly sumptuous and tempting. A whopping $500,000 for a lead role in a high budget movie that will cost the producer $40 million in America's Hollywood.
  But she rejected the offer. Sultry Nollywood actress, Omoni Oboli, stunned many when the news broke recently in Los Angeles, USA, that she has rejected a plum offer to play a lead role in a movie that would have launched her into international stardom.  Sources gathered that beautiful Omoni was approached by an American producer doing a movie about the saga of women in Africa. She was said to have been offered the lead role with a fee of $500,000. In her script were three completely nude scenes where Omoni would be expected to play a character having sex with three different men.
  According to the reports, Omoni, who is married and has three kids, turned down the script and spurned the princely $500,000 (N90 million) offer. She said she would only take the role if the three nude scenes are removed or modified by the American producer.  But the producer, who is not ready to alter his script, refused and Omoni reportedly turned her back on the steamy role, and walked away. The deal would have shot her straight to a multi-millionaire status and made her the highest paid actress in the history of Nollywood.
  When contacted on phone, the actress said that it was embarrassing that the outside world still thinks that with enough pay, you could just bend down and do any trash. "I made it known to him (the Producer) that in my culture, you are only subject to your husband.

  SWALI LINAKUJA HAPA: kama ingekuwa ni msichana wa KITANZANIA jibu gani tungelitegemea atatowa?
   
  Last edited: Jun 1, 2009
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Do naye Omoni bana.......kwani kuact kufanya sex ina maana ya kufanya kweli wa ndugu? au mimi sijui hapa....I thought huwa wanact tu na kila kitu huishia hapo! So she could have accepted the deal anyway...labda mimi sielewi hii mambo!
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hii habari,seems to have bits and pieces missing,how a nigerian run of the mill type actress could spun such a fortune cause of a mere nude scene just does not tick-would you do the needfull and supply the source of this information cause me believes either someone is pushing up her marketing stock to unsuspecting nollywood lovers
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Whatever she has done, she is entitled to her decisions na sioni where the fuss comes from.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  BTW, heading ya thread mboni haielewekieleweki? au ndo vile mwandishi wa Shigongo?
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli this happenned the deal is not all that, kuuza priceless privacy yako kwa a paltry $500,000 is wrong on so many level.

  Nchini kwao asingepata peace of mind, Nigeria is not like America where a nude scene would almost guarantee her shot at international celebrity, kama hataki kuishi nje ya Nigeria, hayuko radhi mwenyewe, hataki kuiaibisha Nigeria au anaogopa backlash, $ 500, 000 is an insult.Huyu actress angeweza hata kusakwa na kuuawa na vichaa wa kinaija.

  Angekubali angekuwa ameweka price tag kwa actress wa Ki Nigeria, sasa kakataa hata kama wanataka kufanya hivyo next time itabidi waje kiutu uzima na a cool million.Lakini huyu conscience yake itakuwa safi. On the otehr hand huyu dada kashajitengenezea bonge la jina kama "actress aliyekataa kidau" natumaini kwa kufanya kazi chache zilizo katika maadili yake Nigeria na nje anaweza kupata maradufu ya hizo $ 500, 000

  All in all, the emotional scars amabazo angepata katika hili deal zingekuwa expensive kuliko hiyo $ 500, 000 ambayo hata kama angesema atorokee US hawezi kusema angeweza kuishi comfortable, the Angelina Jolies of the world get twenty times that much just for showing adopted babies pictures (ever wondered why Jolie wont stop adopting?) .The threesome is theoretically priceless, but the $ 500, 000 does not even begin to compensate her.I could see it if she was a Nigerian stripper with no future, but this actress is probably a big star with quite a huge following in Nigerian with mores contrary to this behavior, a star must have standards beyond money, and by sticking with her values and rejecting this offer, she rejects $ 500,000 but her nudity continues to be priceless.
   
 7. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Nimefurahi kukutumia hii souce lakini pia naimani Unalikubali kuwa Mungu yupo kwani hujapatapo kumuona
  http://allafrica.com/stories/200905250507.html
   
 8. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Swali bado limebaki, tujalie huyu msichana ni MTANZANIA jibu gani tungelitegemea atatowa?
   
 9. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I am lost huyo msichana ni Mtanzania au ni Mnigeria?

  Halle Berry received $500,000 kuonyesha titties zake kwenye Swordfish.
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ujumbe uliojificha kwenye swali lako ni kuwa msichana wa kitanzania hawezi kulikataa hili deal.


  Unawa simplify wasichana wa Kitanzania wote kuwa wana tabia moja.I am sure kuna wasichana wa Kitanzania kibao ambao wangekubali, kama vile walivyo wsichana wa Ki-Nigeria na Ki-Marekani wanaoweza kukubali kirahisi, why unaweza kumpata stripper wa kumpiga picha kwa dollar elfu chache tu sembuse malaki yote hayo.


  Lakini vile vile kuna wasichana wengi tu wa Kitanzania, Ki-Nigeria na Kimarekani ambao wanaamini katika principle zaidi kuliko kuweka tamaa ya career na hela mbele.Juzi Miss California kaweka career yake -and arguably much more than $ 500,000 - on the line kwa kutotaka ku compromise maoni yake kwamba ndoa ni ya mwanamme na mwanamke.Kuna kina dada watanzania wamejiua -gharama kubwa kuliko $ 500,000- kwa sababu walipigwa picha uchi bila idhini yao, kwa hiyo kusema kuwa kinadada wa Kitanzania hawawezi kukataa "offer" hii hakutupi picha ya kweli ya kinadada wa Kitanzania, ambao ni mchanganyiko, labda kinatupa picha ya kinadada walio karibu na wewe.

  Mimi nawajua kinadada waliokataa maisha ya ughaibuni ambayo yangewapa mamilioni bila ya kupigwa picha uchi, simply kwa kuolewa na mizungu mizee yenye uchu na wasichana wadogo wa kiafrika, sasa hao nao vipi mazee?

  Kusema kina dada wa kitanzania hawawezi kukataa hili deal ni kuwadhalilisha na kuwaweka wote pamoja katika simplification inayotuonyesha mengi kuhusu muulizaji swali kuliko kuhusu kinadada wa kitanzania.Na ninayoyaona hayafurahishi.
   
 11. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Msichana mtanzania is an individual, not a herd of predictable sheep.
   
 12. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  sasa hapo una ni accuse kwani sikutegemea kutakuwa na mawazo kama hayo uliyoyatowa wewe, hususan ukiangalia matendo kama hayo si madili ya MTANZANIA na utamaduni wake,lakini sasa umenifanya nijiulize mengi kutokana na kauli yako .
   
Loading...