Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Najaribu kuwaza bila kupata majibu sahihi katika kishindo cha awamu hii ya tano.
Kama kwa miaka 4 serikali ya mahufuli imeshakopa zaidi ya trilioni 29 ikiwa ule mkopo wa reli wa tril 3 haupo wala wa WB wa zaidi ya tril 1 haujaingia kwenye rekodi.
Mbali na hapo serikali hii imejinasibu kuwa ndio imevunja rekodi ya kukusanya mapato kwa miaka 4 ishakusanya zaidi ya trilioni 72.
Swali na hoja inakuja mapesa yote haya yamefanya kazi gani?
Kami miradi mikubwa inayopigiwa chapuo mfano
1. Reli trilioni 4 ni wazi hazijatumika mpaka sasa ndio unatafutwa mkopo toka benki kufadhiri mradi huo.
2. Stieglers gorge, mradi bado mbichi sana hata 10% ya mradi haujafika.
3. Ndege zilizonunuliwa ni shs tril 1.5
4. Tangu 2016 hakuna ajira mpya wala nyongeza ya mishahara zaidi ya watumishi hewa 12,000 waliokoa zaidi ya bil ,700
Swali hizi pesa zimeenda wapi?