Tujadili: Zipi ni faida na hasara za kuwa na mifuko Miwili ya hifadhi ya jamii tofauti na sasa ambapo kuna mifuko mingi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Kama Bunge litapitisha mswaada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa miwili badala ya mifuko mingi iliyopo sasa na baadae Raisi kutia saini,,unadhani nini zitakuwa faida na hasara za mabadiliko haya?

Mimi binafsi naona kutakuwa na hasara zifuatazo:
1.Kupungua wa ushinda na kusababisha huduma ziwe duni.

2.Kuongezaka kwa urasimu na kuwa chanzo cha kero kwa wafanyakazi/wastaafu.

3.Waendeshaji wa mifuko hii watapunguza ubunifu kutokana na kukosekana kwa ushindani na hivyo kupunguza uwekezaji wa kibiashara wa mifuko hii.

4.Kupunguza/kufuta ajira zitakano na uwepo wa mifuko hii kwa baadhi ya waajiriwa wa mifuko hii

5.Kuondoa umuhimu wa uwepo wa taasisi ya kudhibiti mifuko ya hifadhi ya jamii(SSRA) na hivyo kutishia ajira za waajiriwa wa taasisi hii.

6.Wafanyakazi wanakatwa viwango tofauti kulingana na mishahara yao ila sidhani kama kwenye kulipa mafao tofauti hii itazingatiwa sana.

7.Formulae ya kukukokotoa mafao ikibadilishwa kuna watakaoathirika kwa mafao yao kupungua ingawa kuna watakaofaidika.

Unaweza kuongeza ingawa mengi tutayajua baada ya sheria ya kuunda na kusimamia mifuko hii itakapotungwa na kupitishwa pamoja na kanuni zake.

Muswaada husika utakuwa ni kipomo tosha cha uwezo wa wabunge wetu katika kujadili maswala nyeti na yenye maslahi kwa watanzani na Taifa kwa ujumla.
 
Kama Bunge litapitisha mswaada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa miwili badala ya mifuko mingi iliyopo sasa na baadae Raisi kutia saini,,unadhani nini zitakuwa faida na hasara za mabadiliko haya?

Mimi binafsi naona kutakuwa na hasara zifuatazo:
1.Kupungua wa ushinda na kusababisha huduma ziwe duni

2.Kuongezaka kwa urasimu na kuwa chanzo cha kero kwa wafanyakazi/wastaafuKupu.

3.Waendeshaji wa mifuko hii watapunguza ubunifu kutokana na kukosekana kwa ushindani na hivyo kupunguza uwekezaji wa kibiashara wa mifuko hii.

4.Kupunguza/kufuta ajira zitakano na uwepo wa mifuko hii kwa baadhi ya waajiriwa wa mifuko hii

hasara: kutakuwa na urasimu sana ikiwa ni pamoja na ucheleweshwaji wa malipo kwa wahusika
 
Itapunguza ubora wa huduma na pia itapunguza chaguo la mteja.
 
Kwa akili km hizi,walau ma CCM yataongoza milele,haina maana yakuwa na utitiri wa vitu vinavyofanya kazi inayofanana huku ikilenga watu wale wale...
 
Walioanzisha mifuko hii walikuwa na akili sana lakini aliyeanzisha SSRA pia aliona mbali kidogo maana bila regulation mifuko hii haiwezi kiwa na tija
Lakini kwa sasa naiona ikioperate vizuri na kushindana vizuri kibiashara hasa baada ya SSRA kuruhusu mtu kutoka taasisi yoyote kuweza kujiunga na mfuko wowote wa hifadhi ya Jamii

Hasara kubwa itakayojitokeza ni kukosekana kwa ushindani na kupotea kwa ajira nyingi tu
Lakini pia kodi itapotea
 
Kama Bunge litapitisha mswaada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa miwili badala ya mifuko mingi iliyopo sasa na baadae Raisi kutia saini,,unadhani nini zitakuwa faida na hasara za mabadiliko haya?

Mimi binafsi naona kutakuwa na hasara zifuatazo:
1.Kupungua wa ushinda na kusababisha huduma ziwe duni.

2.Kuongezaka kwa urasimu na kuwa chanzo cha kero kwa wafanyakazi/wastaafu.

3.Waendeshaji wa mifuko hii watapunguza ubunifu kutokana na kukosekana kwa ushindani na hivyo kupunguza uwekezaji wa kibiashara wa mifuko hii.

4.Kupunguza/kufuta ajira zitakano na uwepo wa mifuko hii kwa baadhi ya waajiriwa wa mifuko hii

5.Kuondoa umuhimu wa uwepo wa taasisi ya kudhibiti mifuko ya hifadhi ya jamii(SSRA) na hivyo kutishia ajira za waajiriwa wa taasisi hii.

6.Wafanyakazi wanakatwa viwango tofauti kulingana na mishahara yao ila sidhani kama kwenye kulipa mafao tofauti hii itazingatiwa sana.

Kwani Mange anasemaje?
 
Mimi pia Nimeona hasara zifuatazo,
1. Kupungua wa ushindani na kusababisha huduma ziwe duni.
2. Kuongezaka kwa urasimu na kuwa chanzo cha kero kwa wafanyakazi/wastaafu.
3. Waendeshaji wa mifuko hii watapunguza ubunifu kutokana na kukosekana kwa ushindani na hivyo kupunguza uwekezaji wa kibiashara wa mifuko hii.
4. Kupunguza/kufuta ajira zitokanazo na uwepo wa mifuko hii kwa baadhi ya waajiriwa wa mifuko hii.
5. Kuondoa umuhimu wa uwepo wa taasisi ya kudhibiti mifuko ya hifadhi ya jamii(SSRA) na hivyo kutishia ajira za waajiriwa wa taasisi hii.
6. Wafanyakazi wanakatwa viwango tofauti kulingana na mishahara yao

Upande wa Faida ya kufanya hizo Merging sijaona aisee
 
Kwa akili km hizi,walau ma CCM yataongoza milele,haina maana yakuwa na utitiri wa vitu vinavyofanya kazi inayofanana huku ikilenga watu wale wale...
Kwa mfano wako huu Vipi kuhusu Benki Mkuu??
TIA, CBE na IFM ni vyuo vya serikali, je navyo viungwe pamoja??
 
Kwa akili km hizi,walau ma CCM yataongoza milele,haina maana yakuwa na utitiri wa vitu vinavyofanya kazi inayofanana huku ikilenga watu wale wale...

Kweli kabisa, mshauri pia ajenge hospital moja kubwaaaaa iwe inahudumia watanzania wote nyingine azifunge.....
 
KIUKWELI HASARA NA NYING KULIKO FAIDA

NA WAFANYAKAZI WAJIANDAE KUPATA HUDUMA ZILIZODUMAA KWA SABABU HAKUTAKUWA NA USHNDANI.

KWA SABABU MFUKO M1 UTAHUDUMIA PRIVATE SECTOR MWING GOVT, HVYO WAFANYAKAZ WA MFUKO WATABWETEKA, WANAJUA MWANACHAMA IWE ISIWE ATAJISAJILI NA MICHANGO ATATOA, MTEJA ATAKUWA HANA THAMANI TENA NA WALA MAFAO HAYATOBORESHWA KWA SABABU KINACHOFANYA MTEJA ANYENYEKEWE SASA HV, NI HUU USHNDAN, KILA MFUKO UNATAKA WANACHAMA WENG..

KIUFUPI
1. HUDUMA ZTAKUWA MBOVU
2. UBUNIFU SIFURI
3. USHNDAN ZERO
4. USUMBUFU WA MAFAO, USAJILI N.K
5. KUPUNGUZWA AJIRA
 
Kwa wale wabunge wa Ccm ambao wao ni kama rubber stamp watalipitisha hili bila hata ya kulijadili vzr.Lkn kwanza mtu unatakiwa kujiuliza.Itaunganishwa kwa formula ipi?
Kila mfuko una mtaji na asset tofauti.kila mfuko una makato tofauti na calculation ya mafao tofauti.haeaoni hii italeta migongano badala ya maendeleo?
Lazima kuna kipindi cha mpito kitatokea mpk mode of operation itakapo anza lzm wateja ambao ni wananchi wataumia sana tu!
 
Kuwa na mifuko miwili hakuna faida hata moja na sijui serikali imekusudia kitu gani. Vichwa cha Waafrika wa Tanzania havina uwezo kuendesha na kusimamia vitaasisi complex bali vitaasisi vidogovidogo km ilivyosasa.
 
Kwa akili km hizi,walau ma CCM yataongoza milele,haina maana yakuwa na utitiri wa vitu vinavyofanya kazi inayofanana huku ikilenga watu wale wale...
Mkuu, umeonyesha kua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana sawa na panya. Maana yake hakuna haja ya kua na vodacom, tigo na zantel kwani zote zinalenga wateja wale wale.
 
Kwa wale wabunge wa Ccm ambao wao ni kama rubber stamp watalipitisha hili bila hata ya kulijadili vzr.Lkn kwanza mtu unatakiwa kujiuliza.Itaunganishwa kwa formula ipi?
Kila mfuko una mtaji na asset tofauti.kila mfuko una makato tofauti na calculation ya mafao tofauti.haeaoni hii italeta migongano badala ya maendeleo?
Lazima kuna kipindi cha mpito kitatokea mpk mode of operation itakapo anza lzm wateja ambao ni wananchi wataumia sana tu!
Hizo tofauti tofauti ndo zinaleta manung'uniko ya wastaafu. Maana siyo kila waajiriwa walikuwa huru kuchagua mifuko waitakayo.
 
Kwa elimu ya bure hiyo ni statutory. Aihitaji competition. Ni sawasawa na kuwa na TRA nyingi, haileti ufanisi.
Mifuko ya Hifadhi ya jamii Ahitaji competition ya aina yoyote ;
1. Ndiyo maana duniani kote hakuna competition ya namna hiyo.
2. Kitaalamu mifuko ya Hifadhi ya jamii nature yake ni long term financing, hivyo aiendani na environment inayo encourage mobile membership
3. Watu wanafikiri competition always inaleta ufanisi na ubunifu, siyo kweli. Rejea importation ya fuels chini ya EWURA. Competition ilisababisha bei kupanda lakini ilipoondolewa na kuleta bulk purchase ufanisi uliongezeka.
Mifuko mingi ina direct and hidden cost nyingi. Mfano kuwa na wakurugenzi wengi badala ya moja, kuwa na bodi moja badala ya nyingi, na amini structures hizi zinaongeza cost kubwa sana kwenye administration na anayebeba ni mwanachama.
4. Kwa tulio karibu na mifuko tunajua uongo uliopambwa na marketing strategies zilipewa uzito sana kuliko ufanisi wa kifani. Mfano matangazo mazuri yaliyoaminisha watu kwamba ukijiunga na mfuko x utapewa mkopo utakaobadilisha maisha yako kwa kulmiliki gari au nyumba ndani ya miezi 6 au mwaka, kitu ambacho ni uongo.
5. Mifuko ilitoka kwenye majukumu ya asili ya kutoa mafao yanayotambulika kimataifa ya Hifadhi ya jamii na kujikita na kujikita kwenye "sweeteners" mfano mikopo ambayo nayo inatolewa kwa watu wachache sana lakini wanaitangaza sana.
6. Competition ilisababisha mifuko kuacha kuwafikia watu wa sekta isiyo rasmi na kugombania watu wa sekta rasmi(wakichagua gharama nafuu bila kubeba majukumu) hata kwa kuonga HR,
Na mengine mengi sababu ya muda naishia hapa
 
Tuombe uzima.
 
Back
Top Bottom