TUJADILI::nAnI kAtI yA hAwA WawIli aNaKoSa uOnDo??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUJADILI::nAnI kAtI yA hAwA WawIli aNaKoSa uOnDo???

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by bampami, May 31, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  Padri na shekhe walikutana
  kwenye ndege,Padri
  akamkaribisha Shekhe nyama
  ya kitimoto,Shekhe akasema
  sisi hatulagi hiyo nyama Padri
  akasema mnakosa uhondo.wakati wa kushuka
  Shekhe akamwambia Padri
  msalimie mkeo Padri akasema
  sisi hatuoi,Shekhe akasema
  mnakosa uhondo.sasa je kati
  ya Shekhe na Padri ni nani anayekosa uhondo?naomba
  mnisaidie hapo!
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  duh.!! mbuz katorik tam lakin padr anakoxa vitam zaidi..
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Utamu wa pipi ni mate yako! Wote wanakosa uhondo! M1 pressure Mwingine Ngoma!
   
 4. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  padri anakosa utamu ambao hata kitimoto wenyewe wanaugombania
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hakuna uhondo hapo, yote maumivu tu...........................
   
Loading...