Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,661
18,035
Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!!
Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni haki za binadamu ikiwemo haki za mashoga na wasagaji kuruhusiwa rasmi kufanya mambo yao (uchafu wao), huku haki hiyo ikilindwa na sheria! Kwao hili in sharti LA kwanza la kupewa misaada/mikopo na marekani hasa ikiwa chini ya domocrats kama ilivyo sasa!! Ndiyo maana agenda na eneo namba moja katika mazungumzo lilikuwa ni hilo. Eneo la pili LA biashara na uchumi hutegemea kiwango cha demokrasia ambacho nchi iko tayari kutekeleza ili ipewe ushirikiano na misaada/mikopo ya marekani. Hapo ndipo shinikizo la kuruhusu ndoa za jinsia moja linapoanzia. Rais wa Malawi yule mwanamke yeye aliridhia ndoa za jinsia moja kama sharti la ushirikiano wa kibiashara na uchumi na nchi za magharibi!! Je mama atahimili shinikizo hilo na kusema HAPANA?
Rais Kikwete aliushinda huo mtihani, na aliwahi kumkatalia balozi kuja na Mke dume (Mke wa kiume) nchini mwetu. Tumwombee mama!
 
Haina matatizo Kwa mujibu wa wewe.🤔
 
Bora tusubiri utekelezaji, bado ni mapema sanaa tena sana
 
Kwani Marekani wamemuita au kapelekwa na shida zake?
 
Back
Top Bottom