Tujadili Mradi wa magadi wa ziwa Natron

We don't have Political Enviromentalists???

We need help We do have alot of Minerals; and I believe the owner will be another Asian Group
 
Infact its taking too long

walitakiwa washakijenga hiki kiwanga. If people care so much about environment wauze kwanza gas guzzling trucks they drive na kisah waweke wind turbines kwenye nyumba zao halafu ndio waje kutupa hizo useless speeches

the last thing we need no hawa environterrorists kutuzuia kufanya mipango yetu ya maendeleo
 
Infact its taking too long

walitakiwa washakijenga hiki kiwanga. If people care so much about environment wauze kwanza gas guzzling trucks they drive na kisah waweke wind turbines kwenye nyumba zao halafu ndio waje kutupa hizo useless speeches

the last thing we need no hawa environterrorists kutuzuia kufanya mipango yetu ya maendeleo

Won't you be happy first to know the Mineral Mined right now how benefited the masses? in Mwanza before the foreign companies arrived locals were rich they used to sell their GOLD to THE BANK OF TANZANIA waulaji walikuwa watu wa Bank but at least locals

Now no one has the job the bank people were let go; the locals lost their land, and moved out you know People around Lake Victorie do have large families all are out of work -- Is this what you want??

The problem is local politicians when they get some $$ they shut up; but some enviromentalists politically motivated can change this; I don't care what they drive or eat... National Treasure is Gone...
 
Hii nchi imekuwa ya kipuuzi mno sasa!

Athari za kimazingira kwa sio suala la msingi, their priority is only utajiri, upuuzi mtupu... eti hatuwezi kuendelea kubaki maskini ilhali tuna mali asili! Hivi hayo madini yanayoendelea kuchimbwa kila uchao yametusaidiaje walau kupunguza ufukara tulio nao?

Kwa style hii ya watawala wetu sidhani kama kuna tutakachowaachia wajukuu zetu...lol
 
Watafaidika wadosi na makuwadi wao akina Kikwete at an expense of environment & people of that area.. At the day mradi umeisha maisha yatakuwa yaleyale bilabila (kama kawa) na mazingira yameharibiwa na wale ndege adimu ku-extinct. A typical bongo scenario.
 
Tukiwa ni nchi pekee yenye tanzanite, tumefaidika kiasi gani mpaka huyu ****** ajivune na alazimishe kiwanda hicho kijengwe?
Achilia mbali migodi ya dhahabu iliyopo, kama sijasahau tu nchi ya tatu baada ya south africa na ghana. tujiulize tumefaidika kiasi gani?
Huu nao ni wizi na ufisadi tu
 
April 3, 2011

A soda ash mining plant planned for Tanzania's Lake Natron, the breeding ground for all of east Africa's endangered lesser flamingoes, must go ahead, President Jakaya Kikwete said Saturday.


"There is no need for further delay of the project, which will give the country's economy a big boost," Kikwete said.


Kikwete, who was addressing officials at the trade and industry ministry, said Lake Natron's reserves of soda ash deposits were big enough to make Tanzania the world's leading producer of the product.


The plant, which will be able to process up to 500,000 tonnes of soda ash annually, has attracted criticism from environmentalists who argue the project and its associated infrastructure will destroy the flamingoes' breeding ground.

Like all flamingoes the birds lay a single egg on a mound of mud.

Kikwete argued, however, that destruction of the breeding grounds could be avoided.


"We cannot continue with poverty while we have vast resources, including our minerals that are lying untapped. We can just apply the right technology that is not harmful to flamingoes," he said.


Industry minister Cyril Chami has said that the relevant environment and social impact assessments should be completed by the end of April.


The plant, which is to be built and operated by Tata Chemicals of Mumbai, and which will feature a grid of pipes running across the lake as well as infrastructure for workers on the shore, was put on hold in 2008 on environmental concerns.

:disapointed:Kwa mara nyingine rasilimali za nchi tunataka kuwapa wahindi. Hawa wataalamu wetu hawawezi hata kwenda Botswana kujifunza jinsi wao wanavyofaidika na rasilimali zao kwa kuhakikisha Serikali ina miliki hizo rasilimali asili zao kwa zaidi ya 50%?
 
Kama ni kuondoa umasikini mbona maradi wangu wa kufuga kiti moto ON LARGE SCALE unakwamishwa Bagamoyo? kwani huo sio uondoaji umasikini?
 
April 3, 2011
Kikwete, who was addressing officials at the trade and industry ministry, said Lake Natron's reserves of soda ash deposits were big enough to make Tanzania the world's leading producer of the product.

Mh!!!!! Yani baada ya kufikiria kuwa leading producer wa by products! , Sisi tunafikiria kujenga Bandari na Reli kutoka Machimbo hadi Tanga bandarini ili wasafirishe nje RAW MATERIAL.

Halafu utakuta hizo Reli na bandari zina jengwa kwa KODI yetu!

Upuuuuzzzzzzzzzziiiiiiiiii!!!!!!!! Mtupui!
 
Botswana all experts in any field must be from Botswana; the country Educated their own people Overseas every year na hawabaki huko wakirundi nyumbani promised a house and a car...

Sisi Mara nyingi Serikali inapeleka Nje watoto wao na wanabaki huko; Nyumba wanauzia mafisadi period...
 
Another example of our warped sense of priorities. Hao flamingoes ni priceless. Wakiendelea kuzaana tunaweza kuendelea kufaidika nao milele. Hiyo soda ash ni finite. Haizaliani, na ikiisha hao tunaowalamba miguu wataondoka na kutuachia ziwa lililokufa! Inakatisha tamaa.

Amandla.......
 
Kisichokumbukwa ni kiwa hiyo resrve wanayoitaka kuichimba inatokana na kinyesi cha hao flamingo, wakiondoka kinyesi hicho kitatokea wapi?
 
Kisichokumbukwa ni kiwa hiyo resrve wanayoitaka kuichimba inatokana na kinyesi cha hao flamingo, wakiondoka kinyesi hicho kitatokea wapi?

Na tatizo investors are Indians... that's sick why can't we find local nationalist investors?
 
Kisichokumbukwa ni kiwa hiyo resrve wanayoitaka kuichimba inatokana na kinyesi cha hao flamingo, wakiondoka kinyesi hicho kitatokea wapi?

No
Magadi yanatokana na volkano ambayo ililipuka katika mlima Lengai (Oldonyo Lengai) miaka mingi iliyopita, na sio kinyesi cha hao korongo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom