Tujadili: Mkutano wa CCM wa July 23 ni wa kisiasa au la?

BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
611
790
Tena naomba tujadili kwa nguvu ya hoja na tuache ushabiki. Madhumuni ya huo mkutano ni ya kisiasa au la? Je mkutano hautasheheni hotuba za kisiasa? Mkutano huo hauingii ktk zuio la mikutano ya siasa nchini, zuio ambalo linasimamiwa na polisi?
Karibuni.
 
Hebu nikuulize pale Gold Crest mwanza ulikuwa mkutano wa kisiasa au la?
 
Tena naomba tujadili kwa nguvu ya hoja na tuache ushabiki. Madhumuni ya huo mkutano ni ya kisiasa au la? Je mkutano hautasheheni hotuba za kisiasa? Mkutano huo hauingii ktk zuio la mikutano ya siasa nchini, zuio ambalo linasimamiwa na polisi?
Karibuni.

Kwani madhumuni ya Mkutano wowote wa Chama chochote cha Siasa kikiwa kinafanya Mkutano wake huwa ni nini zaidi ya Siasa hiyo hiyo? Hizo hotuba zisiposheheni masuala ya Siasa unataka zisheheni masuala ya Messi na Ronaldo? Mkutano utaingiaje katika zuio kama Chama husika kimefuata taratibu zote stahili ikiwemo kutoa taarifa kwa mamlaka zote husika? Kazi ipo!
 
Nanukuu "Marais Wote Nitawalinda Sijui Wanaosema Washtakiwe Hakuna"

Cloud Nao Wakasema Nanukuu "Naye Anajua Baada Ya Awamu Yake Atakuwa Mstaafu Apate Kulindwa"
 
Sisi ndiyo wenye intelligensia na wafanya maamuzi hivyo siku hiyo na kwa mahala hapo mambo yatakuwa shwari lakini sehemu nyingine wakati huo huo tunaona mambo si shwari. Tulizeni mizuka.
 
Mkuu wa kaya atakuwepo wastaafu wote wapo so inteljensia inaonesha hapatakuwa na tatizo
 
Back
Top Bottom