Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,739
- 155,436
lsale:- Jamani huu ni mmea wa ajabu sana, tena wa mila wa kabila la Kichagga.
Mawandala ni mawe yanayochukuliwa kaburini kwa Mchagga aliye zikwa nje ya Moshi, ili kulihamishia kaburi lake Moshi
Mburu wa mrumwa- huyu ni mbuzi wa tambiko. Mbuzi huyu huwa anatumika kutabiri mambo na majanga ya mwaka mzima.
Jamani hebu naomba mnisaidie mengine ambayo sijayataja