TUJADILI:Mbwembe za CCM "Tukiwasha mitambo ya gesi mtasahau shida ya umeme=0"

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,478
2,301
www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Tanesco--Uzalishaji-wa-umeme-umeshuka-kwa-asilimia-81/-/1597296/2898526/-/ma99x9z/-/index.html

Niliamini tatizo la umeme lingeisha na bei kushuka hadi 270 octoba hii kama walivyotuahidi
 
Umeme na maji Tanzania imekuwa kero sugu.Ahadi kwamba umeme ungelipatikana nchi nzima imetuchosha!!Sasa tunamchagua Lowassa!
 
Mimi wala halikuniingia akilini.
CCM sio wa kuwaamini kabisa.
 
Ndio maana nikikuta ccm anaua nyoka namimi namuua yeye.

Hawa jamaa ni mafa*la sana.
 
Vitu vingine bora hata wasitoe ahadi wajaribu tu kuelezea mazuri waliyoyafanya Maji tu Dar wameshindwa kutatua tatizo hilo sembuse huku kwetu Ngaramtoni
 
Ccm haina tofauti na mkoloni tuungane kwa pamoja kupigania uhuru wetu oktoba 25
 
www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Tanesco--Uzalishaji-wa-umeme-umeshuka-kwa-asilimia-81/-/1597296/2898526/-/ma99x9z/-/index.html

Niliamini tatizo la umeme lingeisha na bei kushuka hadi 270 octoba hii kama walivyotuahidi
Nimemwona Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO leo ITV kaja na sababu ingine. ..mitambo haijawashwa muda mrefu! Haiinhii akilini
 
Ccm ni ukoo wa panya na kama tujuavo wote kazi ya panya ni kula nafaka ghalani...haitakaa itokee panya afanye jukumu la kujaza nafaka ghalani ili binadamuanufaike nazo...ccm kuleta vitu vya uhakika nchini sio moja ya sera zao na haitakaa iwe sera yao milele..wataendelea kutudanganya hvi hvi mpaka mwisho wa dunia endapo tutaendelea kuwaweka madarakani..cha msingi ni ccm ife kwanza tuanze upya kabisa...mimi nadhani wala hatujachelewa kuanza upya jamani..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom