Nimemwona Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO leo ITV kaja na sababu ingine. ..mitambo haijawashwa muda mrefu! Haiinhii akiliniwww.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Tanesco--Uzalishaji-wa-umeme-umeshuka-kwa-asilimia-81/-/1597296/2898526/-/ma99x9z/-/index.html
Niliamini tatizo la umeme lingeisha na bei kushuka hadi 270 octoba hii kama walivyotuahidi