meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Habari za jioni wadau..!
Ni wazi kuwa mjadala mkali umetokea baada ya Waziri Nape kueleza kuwa kwa sasa TBC haitarusha matangazo yote ya bunge kwa mtindo wa live covarage.
Mjadala huu ni mkali lakini umenifumbua fikra kuwa sasa ni muda muafaka kwa wananchi,wabunge,wadau wa habari wote na wataalamu wa habari kama vile Ayoub Rioba na Serikali kwa ujumla kujadili kwa ujumle wake aina na maudhui ya vipindi vya televisions zote ziwe za serikali au binafsi.
Sijawahi kuridhishwa na maudhui ya vipindi vya TVs zote nchini...
Ukiondoa taarifa za habari ambazo nazo zimejaa udaku badala ya taarifa zenye weledi hakuna vipindi vya maana vyenye mvuto kwa jamii.
TVs zinaonesha burudani na tamthilia kwa asilimia kubwa tena bila kuangalia mlengwa anahitaji nini.
TVs zinavunja maadili kwa kuonesha wagonjwa wakiwa uchi na hivyo kukiuka dhana ya usiri.
TVs zinarusha vipindi vya tiba mbadala zinazotolewa na matapeli.
TVs zinaonesha kamari tu kama Mkwanjika na upuuzi mwingine wa aina hiyo.
Tv zetu zinaonesha matangazo ya biashara yenye maudhui ya ngonongono tu...
Tulinganishe vipindi vya television vya nchini Kenya na kwetu ujionee utofauti mkubwa !!
Kwa ufupi niseme badala ya wabunge kupigania live coverage ya bunge basi wapigania pia aina ya vipindi vinavyooneshwa na TVs zetu kwa ujumla kwani hili nalo ni aina ya jipu sugu.