Tujadili kuhusu vitambulisho vya matibabu kwa Wazee

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,703
2,359
Hivi kuna umuhimu gani wazee kupewa kitambulisho ilhali wenyewe tu wanajitambulisha automatic.... maana hakuna kijana anayeweza kufoji kuwa yeye ni mzee
 
Huwa nashangaa sana! kitambulisho cha udereva, kura au kitaifa kilitosha kumtambua mwenye miaka 60+
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom