Tujadili kuhusu "VAT"

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,621
Neno VAT ni neno la kiuchumi au la kibiashara la lugha ya kiingereza(english) ikiwa ni ufupisho wa maneno "VALUE ADDED TAX yaani kwa kiswahili ni kodi ya ongezeko la thamani.

VAT ni aina ya kodi ambayo hutozwa kwenye mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa ya aina yeyote kubwa kwa ndogo lakini pia kwa malipo ya huduma zozote! Kwa kifupi ni kiasi ambacho hutozwa kwa muamala wowote na hutozwa kwa yule anayepokea tu na si mtoaji.

Kwa muda mrefu serikali yetu imekuwa ikichaji aina hii ya kodi kwenye malipo yanayofanyika katika manunuzi ya bidhaa na huduma hapa nchini(si mauzo yote hufanikiwa kuchajiwa kwasababu ya ukwepaji kodi na mifumo isiyokidhi mahitaji pamoja na biashara nyingi kutokuwa rasmi).
Aina hii ya kodi hukadiriwa kulingana naongezeko la thamani au kushuka kwa thamani ya bidhaa au huduma usika.......tafsiri yake ni kuwa kama bidhaa au huduma itapanda au kushuka bei then kiwango cha kodi inayochajiwa nacho kitapanda au kushuka kulingana na asilimia ambayo hutozwa.....( kwasasa ni asilimia 18).

Kuna kasumba ambayo imejengeka katika akili za watanzania (wasomi na hata wasio wasomi) kuwa tozo la kodi ya V.A.T huwa inatakiwa kulipwa na mnunuaji wa bidhaa pale anapokwenda dukani kwamaana ya kwamba hii kodi tokea bidhaa ina nunuliwa basi kila anayeuza hii bidhaa humtupia mzigo wa kulipa anayeishia wa mwisho kitu ambacho si sahihi. Ntakupa mfano ili unielewe vema.......

Mfano:

Tutachukulia kiwango cha VAT ni asilimia kumi (10%) ili kurahisisha mahesabu........ila kiwango halisi cha VAT kwa sasa ni asilimia kumi na nane (18%).

mfano, bakhresa anazalisha juice ya azam mango
Juice hii hutengenezwa na maembe. Bakhresa anakwenda shambani kwa mkulima ambaye tutachukulia anamiembe ambayo ni ya asili hivyo hakuna gharama yeyote ya uzalishaji hapo ila tu ameisimamia miembe yake imekuwa na imezaa kwahiyo pesa ya kwanza katika hii scenario ni wakati bakhresa analipia maembe kwaajiri ya kupeleka kiwandani kwake kwaajiri ya kukamua juice.

Tuchukulie bakhresa amechukua tani 10 ambazo ni kwa ujumla wake amemlipa mkulima shilingi laki mbili (200,000/=). Sasa hapa ndio habari ya VAT huanza........kwa maana huu ni muamala wa kwanza wa malipo ya kifedha unafanyika kutoka kwa bakhressa kwenda kwa mkulima. Hivyo basi.....mkulima hypothetically anatakiwa kuwa na ile mashine na TRA ili amuandikie risiti bakhresa na kuwapatia serikali kupitia wakala wake (TRA) mapato yao ya asilimia kumi (10%) kodi ya tozo la ongezeko la thamani kutoka sifuri (0) hadi laki mbili (200,000) ambayo itakuwa ni shilingi elfu ishirini (20,000). Hivyo basi bakhresa hatotakiwa kulipa zaidi ya 200,000/= kwa mkulima na hatolipa chochote kwa serikali maana yeye hajapokea chochote ila ametoa. Mkulima atatakiwa kubaki na 180,000/= baada ya kutoa 20,000/= ya VAT.

Bakhressa atasafirisha huu mzigo kwenda kiwandani kwake kwakutumia fuso ya mtu binafsi anaetoa huduma hiyo.......tuchukulie atalipia 30,000 kama gharama ya usafiri. Pia huyu msafirishaji anatakiwa kuwa na Kifaa cha risiti cha tra ili aweze kulipa vat kila wakati mtu anapofanya malipo kwake. Hivyo basi katika hatua hii pia msafirishaji atatakiwa kulipa 10% ya 30,000 kama VAT bakhressa hatalipia zaidi ya 30,000 na VAT haimuhusu maana hajapokea ametoa.
Baada ya mzigo kufika kiwandani bakressa ataanza kutengeneza juice yake.......tuchukulie kwamba maembe yanatoa juice nyingi kiasi kwamba anaweza kupanga bei ya sh.2500/= kwenda kwa muuzaji wa jumla shilingi 2000 /= ni kufidia gharama alizoingiza na 500 ni faida kwaajiri yake.

Tuchukulie Mangi mwenye duka la jumla amekuja kununua boksi 100 za juice ya bakhressa ambazo zitamgharimu sh. 250,000/= .....bakhressa atatakiwa kulipa VAT kwasababu katika muamala huu yeye ndiye anapokea Mangi hatotakiwa kulipa zaidi ya 250,000/= kwa bakhressa ili kupata hizo boksi 100.
Hivyo basi bakhressa atapokea sh. 250,000/= na atakata VAT ambayo ni 10% ya 250,000/= ambayo ni sh.25,000/= iende serikalini na yeye atabaki na 225,000/=.

Mangi atakwenda na mzigo dukani kwake ili akauze reja reja kwa wauzaji wa reja reja. Mangi atalipia usafiri wa bajaji kubeba hizi boksi 100. Tufanye bajaji ni sh.5000/=. Huyu jamaa wa bajaji anatakiwa kuwa na kile kifaa cha TRA pia ili alipe kodi. Hivyo tuchukulie anacho hivyo basi atalipa vat pia 10% ya sh.5000/= ambayo ni shiling 500/= Mangi hatolipia chochote zaidi ya 5000 hapa........
Mzigo utafika dukani kwa Mangi tayari kwaajiri ya mauzo. Mangi atauza kila boksi kumi kwa bei ya sh. 3000 kila boksi hivyo bei yake ya jumla ni sh. 30,000/=.
Muuzaji wa rejareja anayeutwa Faki atakwenda dukani kwa Mangi kununua mzigo wake ili apeleke dukani kwake kuuza reja reja.
Faki atamlipa Mangi shilingi 30,000 kwa boski kumi. Faki hatolipia VAT hapa na hatomlipa Mangi zaidi ya sh. 30,000/= .......Mangi atakiwa anatakiwa ampe Faki risiti ya TRA kutoka katika kifaa cha tra ambayo itaonyesha kuwa amelipia VAT (10% ya sh. 30,000/=) ambayo ni sh. 3000/= kwenda serikilini kupitia TRA.
Faki atakwenda na hii bidhaa dukani kwake ili akauze reja reja kwa boksi moja moja kwa mtumiaji wa mwisho ambaye ni mimi au wewe.
Faki atapanda Boda boda pia atalipia gharama ya sh. 3000/=. Boda boda atatakiwa ampatie risiti ya TRA Faki kwa malipo yaliyofanyika ambapo bodaboda atalipia VAT kwa serikali kupitia kifaa cha TRA(Tanzania bado havijaletwa ila tunatakiwa kuwa navyo) boda boda atalipa sh.300/= kwenda serikalini kupitia TRA.Faki hatolipia VAT hapa na hatolipia zaidi ya sh.3000/= kwaajiri ya gharama za usafiri.

Faki atafika dukani pake na kuweka maboksi ya juice tayari kwa kuuza.
Mimi nitakwenda dukani kwa faki kununua juice boksi moja.
Faki anauza boksi moja ya juice kwa bei ya sh.3500/=. Mimi nitanunua hii box kwa shilingi 3500/= hiyo hiyo. Faki atalipia VAT 10% ya 3500/=ambayo ni 350/= iende serikalini kupitia tra.
Mimi hapa sitotakiwa kulipia zaidi ya sh.3500/= na sitolipia VAT kamwe kwasababu nimelipia na sitauza ninakwenda kuitumia hii juice. Hapa ndipo kodi aina ya Vat hukomea kwa muuzaji wa mwisho.

Kama umefuatilia vizuri huo mtiririko basi utakuwa umejifunza mambo mengi kuhusu VAT. Mojawapo ni kuwa....
(1)VAT hailipwi na anayenunua bidhaa au huduma ila anayeuza ndiye hulipa..

(2)Vat huchajiwa kama tozo ya ongezeko la thamani na hivyo basi huchatozwa pale tu ambapo kuna muamala mpya unafanyika yaani mauziano mapya.

(3)VAT kwa tanzania kiuhalisia tofauti na kwenye mfano hapo juu huwa inarushwa au hukwepwa na wanaouza bidhaa au huduma kwa kuificha ndani ya bei wanayokupa na ukiwahoji wanakwambia vat imepanda ndio maana na bei imepanda .....hili ni kosa kubwa kisheria na wengi huwa wanalifanya wakijua ni haki yao kumbe si halali hata kidogo kwa wao kulipa vat halafu ile vat wanairudisha kijanja kwenye bei ya vitu wanavyouza au huduma
mfano
hapo faki angeniuzia mimi juice kwa bei ya sh. 3,850/= badala ya 3500 ili ndani ya hiyo bei akwepe Kodi ya ongezeko la thamani yaani VAT nimlipie mimi.

Nakaribisha maswali.........uchangiaji........na pia nyongeza kama kuna kitu kimepungua au hakipo sawa.
 
Neno VAT ni neno la kiuchumi au la kibiashara la lugha ya kiingereza(english) ikiwa ni ufupisho wa maneno "VALUE ADDED TAX yaani kwa kiswahili ni kodi ya ongezeko la thamani.

VAT ni aina ya kodi ambayo hutozwa kwenye mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa ya aina yeyote kubwa kwa ndogo lakini pia kwa malipo ya huduma zozote! Kwa kifupi ni kiasi ambacho hutozwa kwa muamala wowote na hutozwa kwa yule anayepokea tu na si mtoaji.

Kwa muda mrefu serikali yetu imekuwa ikitoza aina hii ya kodi kwenye malipo yanayofanyika katika manunuzi ya bidhaa na huduma hapa nchini(si mauzo yote hufanikiwa kuchajiwa kwasababu ya ukwepaji kodi na mifumo isiyokidhi mahitaji pamoja na biashara nyingi kutokuwa rasmi). Aina hii ya kodi hukadiriwa kulingana naongezeko la thamani au kushuka kwa thamani ya bidhaa au huduma usika.......tafsiri yake ni kuwa kama bidhaa au huduma itapanda au kushuka bei then kiwango cha kodi inayochajiwa nacho kitapanda au kushuka kulingana na asilimia ambayo hutozwa.....( kwasasa ni asilimia 18).

Kuna kasumba ambayo imejengeka katika akili za watanzania (wasomi na hata wasio wasomi) kuwa tozo la kodi ya V.A.T huwa inatakiwa kulipwa na mnunuaji wa bidhaa pale anapokwenda dukani kwa maana ya kwamba hii kodi tokea bidhaa ina nunuliwa basi kila anayeuza hii bidhaa humtupia mzigo wa kulipa anayenunua bidhaa kitu ambacho si sahihi. Ntakupa mfano ili unielewe vema.......Tutachukulia kiwango cha VAT ni asilimia kumi (10%) ili kurahisisha mahesabu........ila kiwango halisi cha VAT kwa sasa ni asilimia kumi na nane (18%).
mfano,

bakhresa anazalisha juice ya azam mango Juice hii hutengenezwa na maembe. Bakhresa anakwenda shambani kwa mkulima ambaye tutachukulia anamiembe ambayo ni ya asili hivyo hakuna gharama yeyote ya uzalishaji hapo ila tu ameisimamia miembe yake imekuwa na imezaa kwahiyo pesa ya kwanza katika hii scenario ni wakati bakhresa analipia maembe kwaajiri ya kupeleka kiwandani kwake kwaajiri ya kukamua juice.

Tuchukulie bakhresa amechukua tani 10 ambazo ni kwa ujumla wake amemlipa mkulima shilingi laki mbili (200,000/=). Sasa hapa ndio habari ya VAT huanza........kwa maana huu ni muamala wa kwanza wa malipo ya kifedha unafanyika kutoka kwa bakhressa kwenda kwa mkulima.

Hivyo basi.....mkulima hypothetically anatakiwa kuwa na ile mashine na TRA ili amuandikie risiti bakhresa na kuwapatia serikali kupitia wakala wake (TRA) mapato yao ya asilimia kumi (10%) kodi ya tozo la ongezeko la thamani kutoka sifuri (0) hadi laki mbili (200,000) ambayo itakuwa ni shilingi elfu ishirini (20,000). Hivyo basi bakhresa hatotakiwa kulipa zaidi ya 200,000/= kwa mkulima na hatolipa chochote kwa serikali maana yeye hajapokea chochote ila ametoa. Mkulima atatakiwa kubaki na 180,000/= baada ya kutoa 20,000/= ya VAT

Bakhressa atasafirisha huu mzigo kwenda kiwandani kwake kwakutumia fuso ya mtu binafsi anaetoa huduma hiyo.......tuchukulie atalipia 30,000 kama gharama ya usafiri. Pia huyu msafirishaji anatakiwa kuwa na Kifaa cha risiti cha tra ili aweze kulipa vat kila wakati mtu anapofanya malipo kwake. Hivyo basi katika hatua hii pia msafirishaji atatakiwa kulipa 10% ya 30,000 kama VAT bakhressa hatalipia zaidi ya 30,000 na VAT haimuhusu maana hajapokea ametoa.
Baada ya mzigo kufika kiwandani bakressa ataanza kutengeneza juice yake.......tuchukulie kwamba maembe yanatoa juice nyingi kiasi kwamba anaweza kupanga bei ya sh.2500/= kwenda kwa muuzaji wa jumla shilingi 2000 /= ni kufidia gharama alizoingiza na 500 ni faida kwaajiri yake. Tuchukulie Mangi mwenye duka la jumla amekuja kununua boksi 100 za juice ya bakhressa ambazo zitamgharimu sh. 250,000/= .....bakhressa atatakiwa kulipa VAT kwasababu katika muamala huu yeye ndiye anapokea Mangi hatotakiwa kulipa zaidi ya 250,000/= kwa bakhressa ili kupata hizo boksi 100.Hivyo basi bakhressa atapokea sh. 250,000/= na atakata VAT ambayo ni 10% ya 250,000/= ambayo ni sh.25,000/= iende serikalini na yeye atabaki na 225,000/=.
Mangi atakwenda na mzigo dukani kwake ili akauze reja reja kwa wauzaji wa reja reja. Mangi atalipia usafiri wa bajaji kubeba hizi boksi 100. Tufanye bajaji ni sh.5000/=. Huyu jamaa wa bajaji anatakiwa kuwa na kile kifaa cha TRA pia ili alipe kodi. Hivyo tuchukulie anacho hivyo basi atalipa vat pia 10% ya sh.5000/= ambayo ni shiling 500/= Mangi hatolipia chochote zaidi ya 5000 hapa........Mzigo utafika dukani kwa Mangi tayari kwaajiri ya mauzo.
Mangi atauza kila boksi kumi kwa bei ya sh. 3000 kila boksi hivyo bei yake ya jumla ni sh. 30,000/=. Muuzaji wa rejareja anayeitwa Faki atakwenda dukani kwa Mangi kununua mzigo wake ili apeleke dukani kwake kuuza reja reja. Faki atamlipa Mangi shilingi 30,000 kwa boski kumi. Faki hatolipia VAT hapa na hatomlipa Mangi zaidi ya sh. 30,000/= .......Mangi atakiwa anatakiwa ampe Faki risiti ya TRA kutoka katika kifaa cha tra ambayo itaonyesha kuwa amelipia VAT (10% ya sh. 30,000/=) ambayo ni sh. 3000/= kwenda serikilini kupitia TRA. Faki atakwenda na hii bidhaa dukani kwake ili akauze reja reja kwa boksi moja moja kwa mtumiaji wa mwisho ambaye ni mimi au wewe. Faki atapanda Boda boda pia atalipia gharama ya sh. 3000/=. Boda boda atatakiwa ampatie risiti ya TRA Faki kwa malipo yaliyofanyika ambapo bodaboda atalipia VAT kwa serikali kupitia kifaa cha TRA(Tanzania bado havijaletwa ila tunatakiwa kuwa navyo) boda boda atalipa sh.300/= kwenda serikalini kupitia TRA.Faki hatolipia VAT hapa na hatolipia zaidi ya sh.3000/= kwaajiri ya gharama za usafiri. Faki atafika dukani pake na kuweka maboksi ya juice tayari kwa kuuza. Mimi nitakwenda dukani kwa faki kununua juice boksi moja. Faki anauza boksi moja ya juice kwa bei ya sh.3500/=. Mimi nitanunua hii box kwa shilingi 3500/= hiyo hiyo. Faki atalipia VAT 10% ya 3500/=ambayo ni 350/= iende serikalini kupitia tra. Mimi hapa sitotakiwa kulipia zaidi ya sh.3500/= na sitolipia VAT kamwe kwasababu nimelipia na sitauza ninakwenda kuitumia hii juice. Hapa ndipo kodi aina ya Vat hukomea kwa muuzaji wa mwisho. Kama umefuatilia vizuri huo mtiririko basi utakuwa umejifunza mambo mengi kuhusu VAT. Mojawapo ni kuwa....
(1)VAT hailipwi na anayenunua bidhaa au huduma ila anayeuza ndiye hulipa..
(2)Vat huchajiwa kama tozo ya ongezeko la thamani na hivyo basi huchatozwa pale tu ambapo kuna muamala mpya unafanyika yaani mauziano mapya.
(3)VAT kwa tanzania kiuhalisia tofauti na kwenye mfano hapo juu huwa inarushwa au hukwepwa na wanaouza bidhaa au huduma kwa kuificha ndani ya bei wanayokupa na ukiwahoji wanakwambia vat imepanda ndio maana na bei imepanda .....hili ni kosa kubwa kisheria na wengi huwa wanalifanya wakijua ni haki yao kumbe si halali hata kidogo kwa wao kulipa vat halafu ile vat wanairudisha kijanja kwenye bei ya vitu wanavyouza au huduma mfano hapo faki angeniuzia mimi juice kwa bei ya sh. 3,850/= badala ya 3500 ili ndani ya hiyo bei akwepe Kodi ya ongezeko la thamani yaani VAT nimlipie mimi.

umenierimisha sana mkuu .kumbe benki wanataka kutuibia kwa kuongeza bei ya kutumia atm kwa mteja wakati ni wajib na jukumu lao .
 
Mtoa mada mfanyabiashara ni TAX COLLECTOR anakusanya kodi kwa niaba ya TRA , kama umefanya biashara au umejaza tender yoyote au quotation lazima kuna kipengele cha Add 18% VAT so usipotoshe uma.
Na pia mfanyabiashara nae pia analipa VAT anapoenda kununua malighafi so Bakhresa akienda kununua maembe shambani ni bakhresa ndie anaelipa kodi yule mkulima anaipeleka TRA na vivyo hivyo Mangi akienda kununua juice kwa bakhresa ni Mangi anayelipa hiyo VAT na sio bakhresa tena anachofanya mfanyabiashara ni Ku add 18% VAT
 
Nashukuru kwa elimu uliyotoa.Hakika nimepata darasa zuri kuhusiana na VAT.Hii elimu inahitajika na muhimy kwa umma itasaidia kulipa kodi bila shuruti.Tatizo watu wengi hatuna elimu juu ya kodi ya ongezeko la thamani ndo maana watu wengi tumeishia kulalamika nakulaumu juu ya makato kuwa mengi nayasiyo na tija .Ubarikiwe sana mtoa Uzi.
Swali:-Inakuwaje kunakuwa na tofauti ya bei ktk bidhaa ilihali zimechukuliwa sehemu moja na kwenda uzwa sehemu/eneo moja!?For Instance kutumia mifano yako:-Mangi na Muha wamenunua box 100@kwa Faki kila mmoja, bei ya jumla 3000.Wanatakiwa kuja uza 3500@rejareja ktk eneo moja BT why inatokea Mangi anauza 3500/= afu Muha ambaye yupo next door auze 4000?!Je ni halali?Na nini kinatakiwa kifanyike hapo!!?

Nitashukuru nikipata majibu yakinifu juu ya hayo.
 
Neno VAT ni neno la kiuchumi au la kibiashara la lugha ya kiingereza(english) ikiwa ni ufupisho wa maneno "VALUE ADDED TAX yaani kwa kiswahili ni kodi ya ongezeko la thamani.

VAT ni aina ya kodi ambayo hutozwa kwenye mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa ya aina yeyote kubwa kwa ndogo lakini pia kwa malipo ya huduma zozote! Kwa kifupi ni kiasi ambacho hutozwa kwa muamala wowote na hutozwa kwa yule anayepokea tu na si mtoaji.

Kwa muda mrefu serikali yetu imekuwa ikitoza aina hii ya kodi kwenye malipo yanayofanyika katika manunuzi ya bidhaa na huduma hapa nchini(si mauzo yote hufanikiwa kuchajiwa kwasababu ya ukwepaji kodi na mifumo isiyokidhi mahitaji pamoja na biashara nyingi kutokuwa rasmi). Aina hii ya kodi hukadiriwa kulingana naongezeko la thamani au kushuka kwa thamani ya bidhaa au huduma usika.......tafsiri yake ni kuwa kama bidhaa au huduma itapanda au kushuka bei then kiwango cha kodi inayochajiwa nacho kitapanda au kushuka kulingana na asilimia ambayo hutozwa.....( kwasasa ni asilimia 18).

Kuna kasumba ambayo imejengeka katika akili za watanzania (wasomi na hata wasio wasomi) kuwa tozo la kodi ya V.A.T huwa inatakiwa kulipwa na mnunuaji wa bidhaa pale anapokwenda dukani kwa maana ya kwamba hii kodi tokea bidhaa ina nunuliwa basi kila anayeuza hii bidhaa humtupia mzigo wa kulipa anayenunua bidhaa kitu ambacho si sahihi. Ntakupa mfano ili unielewe vema.......Tutachukulia kiwango cha VAT ni asilimia kumi (10%) ili kurahisisha mahesabu........ila kiwango halisi cha VAT kwa sasa ni asilimia kumi na nane (18%).
mfano,

bakhresa anazalisha juice ya azam mango Juice hii hutengenezwa na maembe. Bakhresa anakwenda shambani kwa mkulima ambaye tutachukulia anamiembe ambayo ni ya asili hivyo hakuna gharama yeyote ya uzalishaji hapo ila tu ameisimamia miembe yake imekuwa na imezaa kwahiyo pesa ya kwanza katika hii scenario ni wakati bakhresa analipia maembe kwaajiri ya kupeleka kiwandani kwake kwaajiri ya kukamua juice.

Tuchukulie bakhresa amechukua tani 10 ambazo ni kwa ujumla wake amemlipa mkulima shilingi laki mbili (200,000/=). Sasa hapa ndio habari ya VAT huanza........kwa maana huu ni muamala wa kwanza wa malipo ya kifedha unafanyika kutoka kwa bakhressa kwenda kwa mkulima.

Hivyo basi.....mkulima hypothetically anatakiwa kuwa na ile mashine na TRA ili amuandikie risiti bakhresa na kuwapatia serikali kupitia wakala wake (TRA) mapato yao ya asilimia kumi (10%) kodi ya tozo la ongezeko la thamani kutoka sifuri (0) hadi laki mbili (200,000) ambayo itakuwa ni shilingi elfu ishirini (20,000). Hivyo basi bakhresa hatotakiwa kulipa zaidi ya 200,000/= kwa mkulima na hatolipa chochote kwa serikali maana yeye hajapokea chochote ila ametoa. Mkulima atatakiwa kubaki na 180,000/= baada ya kutoa 20,000/= ya VAT

Bakhressa atasafirisha huu mzigo kwenda kiwandani kwake kwakutumia fuso ya mtu binafsi anaetoa huduma hiyo.......tuchukulie atalipia 30,000 kama gharama ya usafiri. Pia huyu msafirishaji anatakiwa kuwa na Kifaa cha risiti cha tra ili aweze kulipa vat kila wakati mtu anapofanya malipo kwake. Hivyo basi katika hatua hii pia msafirishaji atatakiwa kulipa 10% ya 30,000 kama VAT bakhressa hatalipia zaidi ya 30,000 na VAT haimuhusu maana hajapokea ametoa.
Baada ya mzigo kufika kiwandani bakressa ataanza kutengeneza juice yake.......tuchukulie kwamba maembe yanatoa juice nyingi kiasi kwamba anaweza kupanga bei ya sh.2500/= kwenda kwa muuzaji wa jumla shilingi 2000 /= ni kufidia gharama alizoingiza na 500 ni faida kwaajiri yake. Tuchukulie Mangi mwenye duka la jumla amekuja kununua boksi 100 za juice ya bakhressa ambazo zitamgharimu sh. 250,000/= .....bakhressa atatakiwa kulipa VAT kwasababu katika muamala huu yeye ndiye anapokea Mangi hatotakiwa kulipa zaidi ya 250,000/= kwa bakhressa ili kupata hizo boksi 100.Hivyo basi bakhressa atapokea sh. 250,000/= na atakata VAT ambayo ni 10% ya 250,000/= ambayo ni sh.25,000/= iende serikalini na yeye atabaki na 225,000/=.
Mangi atakwenda na mzigo dukani kwake ili akauze reja reja kwa wauzaji wa reja reja. Mangi atalipia usafiri wa bajaji kubeba hizi boksi 100. Tufanye bajaji ni sh.5000/=. Huyu jamaa wa bajaji anatakiwa kuwa na kile kifaa cha TRA pia ili alipe kodi. Hivyo tuchukulie anacho hivyo basi atalipa vat pia 10% ya sh.5000/= ambayo ni shiling 500/= Mangi hatolipia chochote zaidi ya 5000 hapa........Mzigo utafika dukani kwa Mangi tayari kwaajiri ya mauzo.
Mangi atauza kila boksi kumi kwa bei ya sh. 3000 kila boksi hivyo bei yake ya jumla ni sh. 30,000/=. Muuzaji wa rejareja anayeitwa Faki atakwenda dukani kwa Mangi kununua mzigo wake ili apeleke dukani kwake kuuza reja reja. Faki atamlipa Mangi shilingi 30,000 kwa boski kumi. Faki hatolipia VAT hapa na hatomlipa Mangi zaidi ya sh. 30,000/= .......Mangi atakiwa anatakiwa ampe Faki risiti ya TRA kutoka katika kifaa cha tra ambayo itaonyesha kuwa amelipia VAT (10% ya sh. 30,000/=) ambayo ni sh. 3000/= kwenda serikilini kupitia TRA. Faki atakwenda na hii bidhaa dukani kwake ili akauze reja reja kwa boksi moja moja kwa mtumiaji wa mwisho ambaye ni mimi au wewe. Faki atapanda Boda boda pia atalipia gharama ya sh. 3000/=. Boda boda atatakiwa ampatie risiti ya TRA Faki kwa malipo yaliyofanyika ambapo bodaboda atalipia VAT kwa serikali kupitia kifaa cha TRA(Tanzania bado havijaletwa ila tunatakiwa kuwa navyo) boda boda atalipa sh.300/= kwenda serikalini kupitia TRA.Faki hatolipia VAT hapa na hatolipia zaidi ya sh.3000/= kwaajiri ya gharama za usafiri. Faki atafika dukani pake na kuweka maboksi ya juice tayari kwa kuuza. Mimi nitakwenda dukani kwa faki kununua juice boksi moja. Faki anauza boksi moja ya juice kwa bei ya sh.3500/=. Mimi nitanunua hii box kwa shilingi 3500/= hiyo hiyo. Faki atalipia VAT 10% ya 3500/=ambayo ni 350/= iende serikalini kupitia tra. Mimi hapa sitotakiwa kulipia zaidi ya sh.3500/= na sitolipia VAT kamwe kwasababu nimelipia na sitauza ninakwenda kuitumia hii juice. Hapa ndipo kodi aina ya Vat hukomea kwa muuzaji wa mwisho. Kama umefuatilia vizuri huo mtiririko basi utakuwa umejifunza mambo mengi kuhusu VAT. Mojawapo ni kuwa....
(1)VAT hailipwi na anayenunua bidhaa au huduma ila anayeuza ndiye hulipa..
(2)Vat huchajiwa kama tozo ya ongezeko la thamani na hivyo basi huchatozwa pale tu ambapo kuna muamala mpya unafanyika yaani mauziano mapya.
(3)VAT kwa tanzania kiuhalisia tofauti na kwenye mfano hapo juu huwa inarushwa au hukwepwa na wanaouza bidhaa au huduma kwa kuificha ndani ya bei wanayokupa na ukiwahoji wanakwambia vat imepanda ndio maana na bei imepanda .....hili ni kosa kubwa kisheria na wengi huwa wanalifanya wakijua ni haki yao kumbe si halali hata kidogo kwa wao kulipa vat halafu ile vat wanairudisha kijanja kwenye bei ya vitu wanavyouza au huduma mfano hapo faki angeniuzia mimi juice kwa bei ya sh. 3,850/= badala ya 3500 ili ndani ya hiyo bei akwepe Kodi ya ongezeko la thamani yaani VAT nimlipie mimi.
Nakaribisha maswali.........uchangiaji........na pia nyongeza kama kuna kitu kimepungua au hakipo sawa.
Unataka kusema gavana hii elimu haijui?
 
Mmmmhhh.....why didn't you take into consideration the issues of output and input tax???? Halafu unaposema kwamba...kuna kasumba imejengeka miongoni mwa wasomi ndani ya Tanzania kuwa VAT inalipwa na mteja/mlaji ...lakini wewe unasema sivyo...nipe REFERENCE inayosema kiwa anayeuchukua mzigo wa Mwisho wa kodi ya ongezeko za Thamani (VAT) haumwangukii mteja au mlaji wa Mwisho. Na pia kuna sheria zipo..kuwa ni yule tu ambaye biashara yake imesajiriwa kwa ajili ya kukusanya hiyo kodi ya ongezeko la Thamani ndiye atakayekusanya hiyo kodi na kuipeleka TRA, kwa hiyo unaposema huyo msafirishaji...kama hao boda boda ....na hao wengine ...wanatakiwa walipe VAT ...unatumia vigezo gani mkuu??!
 
Maana...manufacturer atalipia kodi.... Wholesaler pia...ila the final burden...huenda kwa mlaji...kwa sababu..!!! Hao wote watalipa the balance remaining after taking the differences between input tax and output tax!!!
 
Mtoa mada mfanyabiashara ni TAX COLLECTOR anakusanya kodi kwa niaba ya TRA , kama umefanya biashara au umejaza tender yoyote au quotation lazima kuna kipengele cha Add 18% VAT so usipotoshe uma.
Na pia mfanyabiashara nae pia analipa VAT anapoenda kununua malighafi so Bakhresa akienda kununua maembe shambani ni bakhresa ndie anaelipa kodi yule mkulima anaipeleka TRA na vivyo hivyo Mangi akienda kununua juice kwa bakhresa ni Mangi anayelipa hiyo VAT na sio bakhresa tena anachofanya mfanyabiashara ni Ku add 18% VAT
 
Somo Zuri japo hujaelezea jinsi ya ku claim VAT kwa muuzaji. Yaani; kama bidhaa wakati wa kuinunua ililipiwa kodi (VAT) ya shs 3500 na wewe ukaiuza na kuona kuwa majesho yako ya kodi (VAT) ni shs 5000; ina maana unatakiwa ulipe VAT shs 1500 kwa kuwa tayari shs 3500 ilisha lipiwa kwa bidhaa husika....
Tatizo ninalo liona kwa hapa nyumbani...ni watz wangapi wafanya biashara hasa za Usafirishaji wenye hizo machine?
Hili ni tatizo kwani unapo safirisha mizigo yako ili uweze kudai...lazima uwe na genuine receipt ambazo kiukweli watu hawana.
usafiri wa watu wa chini Boda boda, magari kama kiriku na pikipiki za tair tatu..hawatoi receipt...nafikiri wanahitaji kuwekewa utaratibu.
Nimeona kuwa TRA wanamtaka mtu wa mauzo ghafi ya shs 40,000 kwa siku ambapo ni faida ya kama shs 5000 (laki moja na nusu kwa mwezi) anatakiwa awe na hiyo mashine? naona kama haija tulia sana hapa!
 
Mtoa mada mfanyabiashara ni TAX COLLECTOR anakusanya kodi kwa niaba ya TRA , kama umefanya biashara au umejaza tender yoyote au quotation lazima kuna kipengele cha Add 18% VAT so usipotoshe uma.
Na pia mfanyabiashara nae pia analipa VAT anapoenda kununua malighafi so Bakhresa akienda kununua maembe shambani ni bakhresa ndie anaelipa kodi yule mkulima anaipeleka TRA na vivyo hivyo Mangi akienda kununua juice kwa bakhresa ni Mangi anayelipa hiyo VAT na sio bakhresa tena anachofanya mfanyabiashara ni Ku add 18% VAT
Hii ndio maana ya vat sijui huyo jamaa kaitoa wapi maana yake. Vat ni value added tax kwa maana kuwa ni kodi juu ya thamani ya kitu au huduma.
 
uzi wa upotoshaji huuu.

What is your aim mtoa mada, kuwafanya watanzania wajinga zaidi badala ya kuwaelimisha.

Au kwasbabu unajua ni wavivu wa kusoma na kujitafutia ukweli ndo maana unawaambia vitu vya upotoshaji namna hii??

Bila kukuchosha kuleta reference hapa, embu nenda kwenye google type neno V. A. T halafu ndo ujue maana yake nini na burden ya kulipa mwisho wa siku inaangukia kwa nani.

Kwa definition ndogo ya kukusaidia, angalia definition ya V. A. T kutoka mamlaka ya kodi
1467559671325.jpg
 
Attachments

  • 1467559642895.jpg
    1467559642895.jpg
    13.5 KB · Views: 104
Yote uliyoandika but still the burden goes to the final consumer, sababu kati ya hao wote uliowataja kuazia mzalishaji wa embe, bakhresa,mwenye fuso, wholesaler, boda, na muuzaji wa mwisho,kama wote wanajua na wamesajiliwa kuchukua VAT kwajili ya TRA (I mean wanamachine za EFD ) wanacaculate expenses zao walizotumia kwa hiyo product then wanaset profit yao then wanaplus na VAT (18%) na ndio inakuwa price ya product hiyo, na hiii ni very simple kwa sababu TRA hawapangi bei za product hiyo,
so to summarize kwa mfano wako, huyo mkulima aliyeuza maembe 200,000/ assuming value added ni 0 basi kwake yeye alikuwa anapata faida anayotaka kwa kuuza product hizo 164,000 (VAT exclusive )but since anataka faida yake aliyoset na anaknowledge ya VAT ndio maana kafanya 164,000 + 18% then akauza kwa 200000 so atakapofanya return yake TRA s/he atabaki na amount yake ile ile ya 164k and the trend goes on mpaka kwa yule final consumer of the product
 
umenierimisha sana mkuu .kumbe benki wanataka kutuibia kwa kuongeza bei ya kutumia atm kwa mteja wakati ni wajib na jukumu lao .
Kabisa........hii concept ya VAT wanachi wengi hawaijui na ndio maana tunabanwa sana kwa kuongezewa mabei ya ajabu......kwa kifupi kampuni huwa hazilipi vat kwakuwa huwa wanamsukumizia mwanachi hiyo vat ndani ya bei
 
Mtoa mada mfanyabiashara ni TAX COLLECTOR anakusanya kodi kwa niaba ya TRA , kama umefanya biashara au umejaza tender yoyote au quotation lazima kuna kipengele cha Add 18% VAT so usipotoshe uma.
Na pia mfanyabiashara nae pia analipa VAT anapoenda kununua malighafi so Bakhresa akienda kununua maembe shambani ni bakhresa ndie anaelipa kodi yule mkulima anaipeleka TRA na vivyo hivyo Mangi akienda kununua juice kwa bakhresa ni Mangi anayelipa hiyo VAT na sio bakhresa tena anachofanya mfanyabiashara ni Ku add 18% VAT
Wewe unaongelea scenario gani hii ya sisi kukosea katika mfumo tunaoishi au kwa jinsi inavyotakiwa kuwa........tangu lini mteja anaye nunua bidhaa ndiye analipishwa kodi ya VAT?!

Hebu mtafute mtaalam wa TRA akuelekeze na kama utaona kazi ingia online......google utapata notes then utaelewa.

Bila shaka wewe ni aina ya raia ambao mnasema hata benki wanayohaki ya kuzitoza akaunti za akiba.....wakati kikanuni hizi akaunti huwa hazitozwi
 
Back
Top Bottom