Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,402
tujadili uzuri au ubaya wa mobile browsers tunazotumia au tunazozipenda, haijalishi ni java, android, ios, etc. hii itasaidia wadau wasio wazoefu waweze kuchagua browser itakayowafaa kwa matumizi yao
kwa kuanza mi naifagilia sana Dolphin browser ya android, bwana weee hii kitu tangu niitumie yani nikagundua nilikuwa napoteza muda kwenye opera mini,
nnachoipendea hii browser ni bishi especially website zenye javascript nyingi mfano jf unapoamua kubrowse in pc mode unapata experience safi kabisa,
kama huna space kubwa, dolphin wana lite version ambayo pia iko poa.
haya wadau tiririkeni mie nimeanza