Tujadili kuhusu Mobile browsers

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
tujadili uzuri au ubaya wa mobile browsers tunazotumia au tunazozipenda, haijalishi ni java, android, ios, etc. hii itasaidia wadau wasio wazoefu waweze kuchagua browser itakayowafaa kwa matumizi yao

kwa kuanza mi naifagilia sana Dolphin browser ya android, bwana weee hii kitu tangu niitumie yani nikagundua nilikuwa napoteza muda kwenye opera mini,

nnachoipendea hii browser ni bishi especially website zenye javascript nyingi mfano jf unapoamua kubrowse in pc mode unapata experience safi kabisa,

kama huna space kubwa, dolphin wana lite version ambayo pia iko poa.

haya wadau tiririkeni mie nimeanza
 
Kwa hiyo unamaanisha ninuue cm ya aina gani? Swali la pili kama computer unaweza kubadilisha window je cm na yenyewe unaweza?kama huwezi kwa nini?
 
Me ni mpenzi wa kudownload hapa naipa credit UC Browser sijaona mpinzani hata kidogo, hii ni kiboko ya browser kene sector ya kudownload as ina downloading stability nzuri sana kiasi kwamba unaweza zima simu ukiwasha unaenda endelza pale ilipo ishia, pia ina support streaming ya codec ambazo ziko supported na device yako, yaani mfano mp3 file uki click download ina kuuliza play online ama download hapo una play online kitu ina stream bila utata, unakuja na built in flash player + java script inayo vutia,
The ugly thing ya hii browser ni inakula memory kama haina akili nzuri yaani browser file ina 6.7MB but after sone times uf uses inafikisha hadi 30MB pia inaleta WEB page kama zilivyo hapa ni umalizaji wa bundle kama nini

Running UC Browser 8.4.1 in Android
 
Kwa hiyo unamaanisha ninuue cm ya aina gani? Swali la pili kama computer unaweza kubadilisha window je cm na yenyewe unaweza?kama huwezi kwa nini?

dogo anzisha uzi mpya utajibiwa na wataalam, hapa uko off topic
 
Hapa sasa mkuu sijui nianze na ipi. Opera mini imeniwezesha sana mpaka kufikia hapa nilipo. Hiyo dolphin sijui hata ilivyo cause I haven't android. Opera mobile nayo ni nzuri na ina javascript na kuna Operamini ambayo sio ya java pia haina javascript iko kasi na kuna Opera mini za java nazo ni nzuri ila Opera mini 7 ya java imenifurahisha kiasi fulani mpaka nikajiuliza kwamba nayo ina javascrip au nini hiki yaani mpaka ina page redirecting! hata kwenye hizi file sharing sites inaenda na kudownload file
 
I dont even know what to use nina opera, google chrome, mozilla firefox zote natumia interchangeably and I love em all! Heri yenu wenye Uc and Dolphine
 
wakuu samahani kama nitakua nje ya topic..mimi simu yangu ni E52 nokia, naomba kuuliza nitumie browsers gani ambayo itaendana na simu yangu.?
 
mi natumia uc web,ina javascript,kudownload na kusave iko poa

Nina Ucweb kwenye smartphone htc S740 yenye windows 6.1 standard yenyewe naona haina javascript. Pia tukumbuke hizi ucweb zipo file extension aina nyingi kwa mfano kwa winmobile ni .cab, Symbian ni .sis, na kwa java ni .jar etc. hivyo hii nayo yaweza kuleta tofauti kulingana na application yenyewe ilivyoundwa
 
wakuu samahani kama nitakua nje ya topic..mimi simu yangu ni E52 nokia, naomba kuuliza nitumie browsers gani ambayo itaendana na simu yangu.?

tupia operamini 7 aka next iko poa sana na itakufaa ila ucweb kama salio lako lakizushi haifai..
 
Nina Ucweb kwenye smartphone htc S740 yenye windows 6.1 standard yenyewe naona haina javascript. Pia tukumbuke hizi ucweb zipo file extension aina nyingi kwa mfano kwa winmobile ni .cab, Symbian ni .sis, na kwa java ni .jar etc. hivyo hii nayo yaweza kuleta tofauti kulingana na application yenyewe ilivyoundwa

mi na samsung winmob 6.1 ila nataka kujaribu 6.5 nione inakuaje maana natafuta fundi mwenye uwezo huo ili anisaidie..
 
Kwa hiyo unamaanisha ninuue cm ya aina gani? Swali la pili kama computer unaweza kubadilisha window je cm na yenyewe unaweza?kama huwezi kwa nini?

mkuu mimi nimeelewa hapo kubadilisha window umemaanisha kama tab yani ufungue page 2 kwa mpigo sjui ndo hivooooo.

Kama ndivyo nafkiri browser zote za simu zote zinafanya hivo
 
Jamani nimejaribu kila aina ya browser including BOLT, na zote mnazozijua lakini bado sijaona badala ya Opera mini tena version ya opera mini mod 4.2 hiyo kwangu sijaona inayoipiku japo zimefikia mpaka 10.
 
Back
Top Bottom