Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Habari wana JF,
Kidogo nimekua nyuma kuhusu maswala mazima ya Pay TV na technolojia wanazotumika kufunga channel zao na kumwezesha tu yule aliyelipia kuweza kuzifungua
Huu uzi unaweza usilete maana lakini mwenye jicho la upevu atajua kwa nini napenda tujadili hili swala maana kwa research yangu nimeona watu wa East Africa sana sana Tanzania hivi vitu hatuvielewi(hapa nimefanya utafiti utafiti na unaweza kuniuliza kwa nn nasema hivyo).
Mfano dhairi ni hawa watu wa West Africa(9ja na Ghana) wanavyotunyonya na CCcam zao kwa malipo ya mwezi au Wakenya nao pia wanao ufahamu mkubwa kuhusu mambo haya na nafikiri na sisi tukiyaelewa vizuri yatatusaidi sana. hivo tushirikiane kuyajua haya mambo
Hii itayasaidia makampuni yanayotaka kujiingiza katika mfumo mzima wa satellite Pay TV kujua njia ipi ni salama kufunga channel na ipi si salama
Kwa hapa Tanzania tuna sattelite Pay TV maarufu kama DSTV,AZAM TV,TING,ZUKU,STARTIMES e.t.c
Njia inayotumika kufunga channel unaweza kuiona kwenye SMARTCARD ya TV ulolipia
Je,TV gani wanatumia technolojia kubwa sana na salama zaidi?
na je Technolojia wanayotumia inaendana na kiwango wanacholipisha achana mbali na Content ya channel walizo nazo
Naomba mchango wenu kwa hili! asanteni sana

Viewing Pay TV without a valid subscription is ILLEGAL !!!
All the files/info available here are for experimental and educational purpose only!