wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Wakuu leo tuongelee kuhusu thamani ya pesa a.k.a currency value.
Tunajua kwamba Mataifa makubwa ambayo ndio yanatawala dunia na kua na silaha kali kuliko Mataifa mengine ndo yana pesa zenye thamani. Mataifa kama Marekani, Europe, China e.t.c. yanaweza kuamua chochote juu ya thamani ya pesa na ndiyo yana endesha na kuratibu uchumi wa dunia.
Swali langu ni kwamba, kwa mfano ikatokea Tanzania tukafanya kazi kwa bidii na tukapambana usiku na mchana kufikiria na kuwekeza nguvu kazi, halafu tuchukulie Taifa kama Marekani wakawa wazembe ila bado wakawa na silaha kali na teknolojia; je tunaweza fika point tukawa super power au ni dream isiyowezekana?
I mean hata tupambane usiku na mchana na kusaga meno, World system haiwezi kutupa chance ya kua superior na kua na thamani kubwa ya pesa?
Nauliza tu wakuu, sina ufahamu kwenye masuala ya currency. Najua kuna principle nyingi za kiuchumi ambazo zimetafsiriwa na hayo mataifa makubwa ambayo ndio tunayasikiliza, kwa sababu yenyewe ndio yana power na akili nyingi kuliko sisi.
Swali la pili, eti kwani dream ya nchi za Afrika ni kufikia malengo gani au hazinaga dream? Na je dream za mataifa ya ulaya ni kufikia malengo gani?
Swali jingine, kwanini Wamarekani na Ulaya wenye akili kuliko Waafrika wasitufundishe jinsi ya kua super power na sisi? Hata sisi tunatamani kuwa super power ila hatuna skills.
Naombeni mnisaidie wakuu mwenye majibu.