Tujadili kuhusu hii Tour App ambayo iko kwenye mikakati tokea 2018

Jifunze vitu viwili kwanza kabla sijakushauri uachane na hio Project


1.Ku present idea yako kwa watu na waielewe
2.Sera za Faragha,kama hio ndio Business Model ya App yako achana nayo

Huwezi kuni track Mimi mpaka Guest house nitakayoingia...

Pia nchi yako haina hata foundation ndogo tu ya Ku support aina hio ya ajabu ya Surveillance
 
Back
Top Bottom