Kuchwizzy JF-Expert Member Oct 1, 2019 1,072 2,307 Jan 16, 2021 #2 Jifunze vitu viwili kwanza kabla sijakushauri uachane na hio Project 1.Ku present idea yako kwa watu na waielewe 2.Sera za Faragha,kama hio ndio Business Model ya App yako achana nayo Huwezi kuni track Mimi mpaka Guest house nitakayoingia... Pia nchi yako haina hata foundation ndogo tu ya Ku support aina hio ya ajabu ya Surveillance
Jifunze vitu viwili kwanza kabla sijakushauri uachane na hio Project 1.Ku present idea yako kwa watu na waielewe 2.Sera za Faragha,kama hio ndio Business Model ya App yako achana nayo Huwezi kuni track Mimi mpaka Guest house nitakayoingia... Pia nchi yako haina hata foundation ndogo tu ya Ku support aina hio ya ajabu ya Surveillance