Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,301
Mimi nimekupa Maana yake
au Ukikosa Hoja ndo unakuwa hivyo...... Mi natoa hoja na Ushahidi
CHECK THIS OUT.... Kama umeweza kuweka Kiingereza hapo umesoma. Kwahiyo ulisoma hata HISTORY ambayo ilisema WE ALL CAME FROM THEM[Chimpanzee].... As a source of Knowing where we came from..
Mimi sijafundishwa hiyo topic mkuu nadhani pengine sijafikia hilo darasa na siamini kama nimetokana na sokwe! Tangu wanabaiologia wanataalamu wanafuatilia maisha ya viumbe hai wawepo hawajawahi kutujuza kuwa msitu fulani sokwe kadhaa wamebadilika na kugeuka binaadamu na kutengewa kijiji chao kuanza maisha.
Ila tunasikia kuwa vichaa waliopo hospital ya lutindi wilayani korogwe wamepona na kupewa makazi kijijini hapo!
Mkuu wewe una akili au una ubongo?
I give a sarcastic answer when you ask me a dumb question!