Tujadili hoja na sio jaziba na chuki, Mh. MSIGWA

naona ni bora wazanzibari wapewe chao mapeeeeeeeeeema!
muungano si ulikuwa wa hiyari ama??!!
sasa wanataka chao yanini kuwakomalia??!!
 
nadhani sasa wamegundua kuwa kuungana na tanganyika lilikuwa kosa kihistoria,imefika wakati sasa walirekebishe hilo kosa.
 
Did Salman Rushdie die or Ayatolah Khomein ?

Acha udini, endeleza funga yako kistaarabu ndio maana nilikuomba ukae mbali na JF ili usijinajisi kipindi hiki

Kuna wanaoabudu mizimu, mababu, jua, watu,wanyama ....dunia yao chaguo lao!!

Ungejua maana ya dini usingesema yote hayo, pokea darsa dogo;

Maana ya dini ni mfumo wa maisha kwa hiyo huyo anaebudu "mizimu, mababu, jua, watu,wanyama" ndio mfumo wa maisha yake aliyojichagulia lakini siyo mfumo wa Maisha aliyochaguliwa na Mwenyeezi Mungu wala sio mfumo alichaguliwa na "mizimu, mababu, jua, watu, wanyama". Mfumo wa Maisha kwa Mwenyeezi Mungu ni mmoja tu nao ni Uislaam kwa maana ya kujisalimisha kwake tu.

Hivi wewe engineer, unaweza kutengeneza mashine bila user guide? user manual? technical guide? sasa imagine "a complicated being" kama binaadam aumbwe bila user manual? fikiri kabla hujajibu.
 
NYIE NDO MMEFUNGWA NA DINI HAMWEZI HATA KUFIKIRIA MAMBO MENGINE. Hebu Prove unayoyasema.
Hata wahindi na Wachina wanakushangaa unaabudu Mungu ambaye humwoni. Mungu wako si Bora Kuzidi wengine ni IMANI ni imani tu huwezi kuhakikisha imani yako

Al-qaeda,Uamsho,Alshababu,Al-boko hawa ndo wanajua mfumo wa uislam. Huo ndo Mfumo Mzima wa Maisha ya Uislam

Maana WANATIMIZA AYA HIZI

Qurani 5:35 Suratul Al -Maidah
(Meza)
Enyi mlioamini mcheni
mwenyezi Mungu na tafuteni
njia ya kumfikilia (kufikilia
pepo yake). Na piganeni kwa ajili ya Dini yake ili mpate
kufaulu.

Qurani 47:4 Suratul
Muhammad na Qurani 9:123
Suratul At - Tawba.
Muhammad mwenyewe
alisema hivi katika kitabu cha hadithi zinazoaminiwa na
waislamu wote:- Sahih Al-Bukhari Vol. 4 Hadith
na 196, Ukurasa wa 124:
Imesimuliwa na Abu- Huraira:
Mtume wa Allah akasema,
Nimeamrishwa kupigana na
watu hadi watakaposema hakuna apasaye kuabudiwa
ila Allah; Na yule
atakayesema kwamba
hakuna apasaye kuabudiwa
ila Allah, maisha yake na mali
yake yataokolewa nami…

Zomba said:
Mfumo wa Maisha kwa Mwenyeezi Mungu ni mmoja tu nao ni Uislaam kwa maana ya kujisalimisha kwake tu.

KWELI YAMETIMIA
 
ni jambo lisilo na was wasi wowote kuwa waislamu katika visiwa vya z.n.z ni 99% na ndio wazawa wa visiwa hivyo na wapagani waliobakia wamepandikizwa kutoka bara yani 1% kwa maana hiyo ni hatua muhimu ya kufunga hoteli zote na kila dada kuficha kifua na difu yake ya nyuma huu si wakati wa biashara ya ngono,ngojeni mwezi uishe tunaweza kuingia mkataba mpya!
ni nchi inayoheshimu matabaka yote na dini zote,na ni juu ya wananchi kuheshimu mwezi huu hata kama si waislamu!
(lazma kieleweke)
 
Binafsi sikupenda jinsi Mch Msigwa alivyotukanwa na hasa Radio Iman siku ya Ijumaa saa 2 asubuh kiukweli jamaa hawa walipretend as if alichosema Msigwa ni kibaya sana na kusimamia weak point ya mavaz kwa mtu mwenye uelewa kile cha mavaz kilikuwa ni kitu kidogo saana ktk kujenga hoja yake lkn cha mana na msingi alikuwa akilalamikia kitendo cha kuzuia watu wasile hadharan na tena na kiongozi wa serikal ktk nchi ambayo haiamin dini.Maoni yangu tukiendelea na haya mambo ya ushabiki wa Kidini na kutukanana kusiko kuwa na busara nchi yetu tutakuwa tunaipeleka pabaya tena sana,tupende kusimamia kwenye ukweli na tujenge hoja kulingana na uelewa wa hoja inayojadiliwa na kama hujaelewa sio lazima saana kuchangia unaweza achia wenzako nawe waweza pata funzo. Radio imani kuweni wastaarabu na hasa watangazaji yasije wakuta ya kufungiwa kama Mwanahalisi japo najua haiwezekani kwan mnapendelewa sana! Mungu atujaalie na atuongoze ktk kuchangia mambo ya manufaa yetu wenyewe na Taifa kwa ujumla, Msijenge chuki ni mtazamo tuuu
 
NYIE NDO MMEFUNGWA NA DINI HAMWEZI HATA KUFIKIRIA MAMBO MENGINE. Hebu Prove unayoyasema

Al-qaeda,Uamsho,Alshababu,Al-boko hawa ndo wanajua mfumo wa uislam. Huo ndo Mfumo Mzima wa Maisha ya Uislam

Maana WANATIMIZA AYA HIZI
Qurani 5:35 Suratul Al -Maidah
(Meza)
Enyi mlioamini mcheni
mwenyezi Mungu na tafuteni
njia ya kumfikilia (kufikilia
pepo yake). Na piganeni kwa ajili ya Dini yake ili mpate
kufaulu.

Qurani 47:4 Suratul
Muhammad na Qurani 9:123
Suratul At - Tawba.
Muhammad mwenyewe
alisema hivi katika kitabu cha hadithi zinazoaminiwa na
waislamu wote:- Sahih Al-Bukhari Vol. 4 Hadith
na 196, Ukurasa wa 124:
Imesimuliwa na Abu- Huraira:
Mtume wa Allah akasema,
Nimeamrishwa kupigana na
watu hadi watakaposema hakuna apasaye kuabudiwa
ila Allah; Na yule
atakayesema kwamba
hakuna apasaye kuabudiwa
ila Allah, maisha yake na mali
yake yataokolewa nami…

KWELI YAMETIMIA
al-qaida,boko,al-shabab.....................hawa ni vibaraka wa marekani na kawatengeneza mwenyewe kwa maslahi yake ya kimataifa,fuatilia ukweli ulipo uelimike ukitegemea c.n.n na b.bc na fox news utaishia kuwa mtumwa wa wazungu mpaka kufa kwako!!!!!
wewe na wenye mawazo kama yako!!!
 
muulize mzanzibari yoyote je yeye ni dhidi au pamoja na uamsho??!!!!
100% wote pamoja na uamsho jiulize kwa nini??!!
jawabu ni jepesi siku zote waislamu hawakubali kuonewa kudhalilishwa wala kudhulumiwa na uislamu unahimiza kujitetea na kuwatetea wenzako ili kuwaepusha na kudhulumiwa na ndiyo uamsho walivyofanya!!!
 
ni jambo lisilo na was wasi wowote kuwa waislamu katika visiwa vya z.n.z ni 99% na ndio wazawa wa visiwa hivyo na wapagani waliobakia wamepandikizwa kutoka bara yani 1% kwa maana hiyo ni hatua muhimu ya kufunga hoteli zote na kila dada kuficha kifua na difu yake ya nyuma huu si wakati wa biashara ya ngono,ngojeni mwezi uishe tunaweza kuingia mkataba mpya!
ni nchi inayoheshimu matabaka yote na dini zote,na ni juu ya wananchi kuheshimu mwezi huu hata kama si waislamu!
(lazma kieleweke)

MUNGU wenu ndo anawaruhusu hivyo. Miezi 11 ya Maovu mwezi mmoja wa wema na kuwachapa watu bakora

MMRUHUSU NA YULE KIJANA WENU ALIYETAKA USHOGA UINGIE NCHINI KUPITIA IDHAA YA KISWAHILI BBC
 
ile picha iliyoenezwa kwenye mitandao ni askofu wako alikuwa kavaa kanzu tu,na kale kamchezo alikuwa anacheza na yule binti kama michezo mingine ya kupandishana mzuka,ila mpiga picha aliyekuwa karibu alipata wazo jengine la kuchafuana!
 
MUNGU wenu ndo anawaruhusu hivyo. Miezi 11 ya Maovu mwezi mmoja wa wema na kuwachapa watu bakora

MMRUHUSU NA YULE KIJANA WENU ALIYETAKA USHOGA UINGIE NCHINI KUPITIA IDHAA YA KISWAHILI BBC
ushoga ni kawaida ya maaskofu kuwa mashoga uliwahi wapi kuskia shekhe shoga ama anahimiza ushoga!!!
ila sikupi mifano ya mbali hapa hapa tanzania kuna mapadri na maaskofu mashoga na wapo wanaouhimiza ushahidi ninao!!
wapo waliopigwa mawe na waumini wao kwa kuhimiza ushoga kanisani,na wapo waliofanikiwa kuwakinaisha wafuasi wao juu ya umuhimu wa ushoga na kuwa ni pojawapo ya uhuru na utandawazi
 
yule papa wenu wa ngapi???!!!kule roma-italy yeye mwenyewe kakubali kimtindo maaskofu na waumini wengine kuwa mashoga!
na sijawahi sikia muislamu tu wa kawaida mbali na mashekhe akihalalisha ushoga!!!
huo ndio uislamu kama ulikuwa huujui!!
na si kama unavyochafuliwa na b.b.c au c.n.n
usiwe mtumwa kiakili funguka fuatilia ukweli elimika!!!
 
al-qaida,boko,al-shabab.....................hawa ni vibaraka wa marekani na kawatengeneza mwenyewe kwa maslahi yake ya kimataifa,fuatilia ukweli ulipo uelimike ukitegemea c.n.n na b.bc na fox news utaishia kuwa mtumwa wa wazungu mpaka kufa kwako!!!!!
wewe na wenye mawazo kama yako!!!

Hahahahahahaha. Kweli kubali kufungwa Akili na kitu kingine ila siyo DINI..Kwahiyo na UAMSHO na ALJAZRA ni Vya Marekani??

HIVI NYIE

¤Juzi juzi mlisema Zanzibar inamfumo Kristo Leo Mnasema inaendeshwa kiislam

¤Mlisema Pinda anaoongazwa na Maaskofu. Leo Amewatetea Mnamuona Wenu

¤Mlisema Wanawakatalia Mahakama ya kadhi leo Mmepewa Mnasema ni ya Kikristo

MFANYIWE NINI MLIDHIKE NYIE KILA KITU MNALALAMIKA
 
Watanzania tunashindwa kuendelea kwasababu hatuna tamaduni za kudumu (wa moja kwa moja) wenzetu kule Zanzibar wana utamaduni wao ambao umedumu miaka nenda miaka rudi.

Zanzibar kwa hata wasio waislamu wanabehave tofauti na watu wanaotoka huku bara. Zanzibar imekuwa na wakristo japo kidogo kwa idadi tangu enzi za sultani lakini utamaduni wao umekuwa ni kuto kula kwa kuonekana kwenye mfungo wa mwezi wa ramdhani. Kama Mhe Msigwa haamini haya awaulize kina Charles Hillary, Familia ya Hayati Brig Mwakanjuki, Kizuguto na Joseph Mihagwa ambae ni mweledi wa maswala ya zanzibar na historia yake kwa ujumla.

Miaka mitatu au minne nyuma nilitembelea Zanzibar nikashuhudia aliekuwa mshiriki wa mashindano ya BBA kwa tiketi ya Tanzania akibusiana kwa kunyonyana ndimi na mwanamke wa kizungu hadharani. Kijana mmoja wa kizanzibari akamwambia yule ndugu yetu mbara " bro hayo mambo kafanyieni huko huko kwenu bara tutakutia mikwaju sasa hivi" na akamwambia yule mwanamke wa kizungu kwa lugha yake jamaa na mwanamke wake wakasepa.

Yule kijana aliwaambia yale kwa kuwa ule si utamaduni wa kizanzibari! na huo anaoutetea mhe ni utamaduni mgeni kwa wazanzibari ambao hata wakristo wazawa (sio wahamiaji) watapingana na mtoa hoja.
 
tatizo hii lugha ya kiswahili si ya kwako ulijifunza tu darasani!!
SIO MLIDHIKE NI MRI-MRI-MRIDHIKE KAZA ULIMI KWENYE L IWE R
 
Watanzania tunashindwa kuendelea kwasababu hatuna tamaduni za kudumu (wa moja kwa moja) wenzetu kule Zanzibar wana utamaduni wao ambao umedumu miaka nenda miaka rudi.

Zanzibar kwa hata wasio waislamu wanabehave tofauti na watu wanaotoka huku bara. Zanzibar imekuwa na wakristo japo kidogo kwa idadi tangu enzi za sultani lakini utamaduni wao umekuwa ni kuto kula kwa kuonekana kwenye mfungo wa mwezi wa ramdhani. Kama Mhe Msigwa haamini haya awaulize kina Charles Hillary, Familia ya Hayati Brig Mwakanjuki, Kizuguto na Joseph Mihagwa ambae ni mweledi wa maswala ya zanzibar na historia yake kwa ujumla.

Miaka mitatu au minne nyuma nilitembelea Zanzibar nikashuhudia aliekuwa mshiriki wa mashindano ya BBA kwa tiketi ya Tanzania akibusiana kwa kunyonyana ndimi na mwanamke wa kizungu hadharani. Kijana mmoja wa kizanzibari akamwambia yule ndugu yetu mbara " bro hayo mambo kafanyieni huko huko kwenu bara tutakutia mikwaju sasa hivi" na akamwambia yule mwanamke wa kizungu kwa lugha yake jamaa na mwanamke wake wakasepa.

Yule kijana aliwaambia yale kwa kuwa ule si utamaduni wa kizanzibari! na huo anaoutetea mhe ni utamaduni mgeni kwa wazanzibari ambao hata wakristo wazawa (sio wahamiaji) watapingana na mtoa hoja.

Vipi Mahoteli ya Kitalii na Wazungu wanaopenda kula Njiani Mahindi na Pop Corn
 
Back
Top Bottom