kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
WADAU naomba tujaribu kujikita kwenye mada tajwa hapo juu kwani nimemsikia Waziri Wa Ardhi Mh. Lukuvi sikuamini Bunge kuwa Wizara yake inatunga Sheria ya kuwataka wenye nyumba wachukue kodi ya kila mwezi badala ya miezi 6 au mwaka.
Rejea: Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, inaumiza wengi
Hoja yangu ni je ni faida gani au hasara atakayoipata mwenye nyumba na Mpangaji Kwa Sheria mpya ya upangaji?
Je ni faida/hasara gani Kwa Sheria ya Kulipa Kwa miezi 6/Mwaka anayoipata mpangaji/mwenye nyumba ?