Tujadili :-Athari za Uchaguzi mdogo wa Madiwani katika Halmashauri na uchaguzi wa Ubunge (Znb)

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,548
8,613
Rejea kichwa cha taarifa hapo juu,....huu ni uchaguzi wa kujaza nafasi za madiwani 22 na ubunge wa jimboni (Dimani, Znb) ndani ya nchi hii (Tanzania) January 2017 ......Suala la kujadir hapa ni kuhusu hizi athari chanya na hasi zinazojitokeza nazo ni kama zifuatazo:-...

Positive impacts (Matokeo Chanya)

1:- Vijana Arusha kupewa bodaboda
2:- Machinga nchini kuruhusiwa kufanya biashara mijini pasipokubugudhiwa
3:- Tetesi za ajira kurudi upya tena kwa kuongezwa idadi...
4:- Kesi za wale wapinzani kulegezewa masharti..eg Arusha..
5 :-Askar kupandishwa madaraka..
6:- Kasi ya utumbuaji kupungua..

Negative impacts (Matokeo hasi)

1:- Raia kurundikana mijini (Population pressure)
2:- Viongozi kupishana kauli
3:- Viongozi kutafuta sifa
4:- Kasi ya Tz ya viwanda kupungua
5:-
6:-
7:-
Unaweza kuongezea ukiweza...

SWALI ni :-
1:-Je haya matamko yataendelea hata baada ya uchaguzi.??
2;- Je kuna manufaa ya muda mrefu? ?
3:- Je kuna mipango thabiti ya kufanya haya yote au ni upepo wa KISULI SULI TU.??

KARIBUNI WANA-JUKWAA
 
Rejea kichwa cha taarifa hapo juu,....huu ni uchaguzi wa kujaza nafasi za madiwani 22 na ubunge wa jimboni (Dimani, Znb) ndani ya nchi hii (Tanzania) ......Suala la kujadir hapa ni kuhusu hizi athari chanya na hasi zinazojitokeza nazo ni kama zifuatazo:-...

Positive impacts (Matokeo Chanya)

1:- Vijana Arusha kupewa bodaboda
2:- Machinga nchini kuruhusiwa kufanya biashara mijini pasipokubugudhiwa
3:- Tetesi za ajira kurudi upya tena kwa kuongezwa idadi...
4:- Kesi za wale wapinzani kulegezewa masharti..eg Arusha..
5 :-Askar kupandishwa madaraka..
6:- Kasi ya utumbuaji kupungua..

Negative impacts (Matokeo hasi)

1:- Raia kurundikana mijini (Population pressure)
2:- Viongozi kupishana kauli
3:- Viongozi kutafuta sifa
4:- Kasi ya Tz ya viwanda kupungua
5:-
6:-
7:-
Unaweza kuongezea ukiweza...

SWALI ni :-
1:-Je haya matamko yataendelea hata baada ya uchaguzi.??
2;- Je kuna manufaa ya muda mrefu? ?
3:- Je kuna mipango thabiti ya kufanya haya yote au ni upepo wa KISULI SULI TU.??

KARIBUNI WANA-JUKWAA
KARIBUNI....
 
ccm itawasugua mpaka msome namba za kichina. Siku mkikua na kupata akili mtaelewa

malofa
 
ccm itawasugua mpaka msome namba za kichina. Siku mkikua na kupata akili mtaelewa

malofa
(emoji23) (emoji23) (emoji23) misemo ya Lodi lofa siku hizi kawa kimyaaaah .... Vp wewe namba huisomi.???
 
Back
Top Bottom