Tuitumie Stendi ya Ubungo na Stesheni za Treni Kumng'oa Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuitumie Stendi ya Ubungo na Stesheni za Treni Kumng'oa Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 3, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Jamani mimi nina wazo.

  Mimi ni mmoja kati ya mamilioni ya Watanzania wanaotaka mabadiliko.

  Sikilizeni. Siku zimebaki 27 tu. Hatujachelewa.

  Ninaomba tuitumie stendi ya Ubungo na stesheni za treni kupigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Kikwete.

  How?

  Kwa wale wa Dar Es Salaam, kama una ndugu yako anasafiri kwa basi au treni kwenda mikoani. Mpe vipeperushi vyenye ujumbe wa kutangaza mabadiliko. Kwa nini Kikwete hafai tena. Kwa nini Tumchague Slaa (PhD)? Akifika kijijini aende tu sehemu ambapo raia hukusanyika kwa wingi kama klabu za pombe akavimwage. Watu wa vijijini wasome waujue ukweli.

  Tunataka Dr. Slaa aingie Ikulu ya Tanzania Oktoba 2010

  Tatizo liko kijijini. Mijini tatizo labda liko Lindi, Tanga na Mikindani.

  MwanaJF yeyote mwenye kuweza ku-draft huo waraka auweke jamvini. Tutaunakili na kuuchapa.

  Nawasilisha
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Seriously twaitaji creative minds sio minds ambazo ziko vacation
   
Loading...