Tuition za siri za Tshs 100,000 kwa mwezi st matthews!

St mathews ni shule inayomilikiwa na mbabaishaji aliyewahi kuwa jambazi. Shule hii imewahi kufutiwa mitihani yake ya taifa mwaka 2006.

Mwenye shule ambaye ni mwenyeji wa bukoba aliwahi kuwa mkuu wa kituo cha polisi buguruni akawa anakodisha silaha kwa majambazi.akatimuliwa kazi ghafla akawa milionea.na sasa ni mlezi wa ccm wilaya ya mkuranga na mweka hazina.
Mkuu, ongeza nyama.
 
Jina lako ni FAIR PLAYER nilitegemea ungesema kuwe na FAIR TRADE.shule ni biashara siku hizi hivyo mteja ana haki zake zinatakiwa kulindwa.

mtu akisema Nchi yetu imevamiwa na ufisadi, jibu ni kuwa kuna nchi nyingi nenda kaishi Botswana?

au mtu akisema shirika la Ndege la Air Tanzania lina mapungufu kadhaa kwenye huduma yao, jibu mashirika yako mengi panda Precision Air.
akija mdau Mwingine akisema kampuni fulani ya simu ina gharama kubwa sitarajii jibu liwe kuwa makampuni yako Mengi.

aliyeleta mada hii hapa anazungumzia wizi kama ilivyo EPA au Richmond inayojadiliwa hapa kwenye siasa.

huko chini wewe umemjadili mama Rwakatare na kanisa lake na ukathibitisha utapeli wake wa kuchukua pesa za Yatima na wajane kutoka kwa wamarekani, hakuna aliyekuelekeza kuwa makanisa yako Mengi nenda kwa Kakobe.

mkuu labda una hisa au ujamaa na Mmiliki wa shule ile ambaye ni tapeli na jambazi wa muda mrefu.mwaka 2005 aligombea ubunge kwa jimbo la Mkuranga,jina lake lilipofika CC wakahoji jamani CCM tumeishiwa kiasi cha kuchukua majambazi kama haya. hayo ni maneno ya Rais Mkapa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM kwa wakati huo.jamaa akatupwa chini.

hivi sasa amesema atajenga ofisi ya chama wilaya Ya Mkuranga ya dhamani ya milioni mia moja. wakati vyanzo vyake ni ujambazi wa silaha na wizi huu wa ada za wanafunzi. kibaya zaidi anatumi majina ya dini kama kuita shule MTAKATIFU MATHEWS.
Mkuu unajua mengu juu ya huyu mtu, endelea kutujuza.
 
Mheshimiwa mtarajiwa mgombea.

unajichanganya sana MARA UNASEMA unajua machache,mara unadhani kama alifukuzwa,mara sijui alikuwa kituo cha Kariakoo au Buguruni.
ushahidi wako ni wa uongo au unaficha kitu.kweli ni huu alifukuzwa kwa ujambazi kituo cha Buguruni.

Mutembei ni jambazi na tapeli, kama mimi ni muongo jee kitu gani kilimshinda kwenye uchaguzi wa 2005 alipogombea kiti cha ubunge mkuranga?

nimekwambia hivi sasa anajiita DR wakati elimu hiyo hana.anatumia jina la ST. kuomba misaada kwenye taasisi za dini nje ya nchi huku shule yake ipo kwa ajili ya biashara na si huduma?na wala si mali ya kanisa.
jambazi huyu anajulikana sana polisi serikalini lakini serikali ya awamu ya tatu ilikuwa ikila na majambazi kama hawa.

MUTEMBEI amekuwa akilindwa na kamanda TIBAIGANA aliyekuwa mkuu wa kanda maalum ya kipolisi. kwani ni kabila moja na MUTEMBEI. MUTEMBEI ameshiriki na kumsaidia ALFRED TIBAIGANA kumjengea Hotel na nyumba ya fahari Mkuranga. kuna kipindi TIBAIGANA alikuwa akimiliki gari iliyopatikana kwa njia za ujambazi.

Mutembei alipata kura mia nne kwenye kura za maoni akiwa chini ya kampeni meneja wake aliyemnunulia Lori JINA la ukoo wake lianza na B.

MUTEMBEI shule hii alianza kuijenga 1995 na shule ya pili hakujenga yeye alinunua majengo ya shule iliyoshindwa kujiendesha,shule hii aliipata kupitia mtoto wa mstaafu mmoja ambaye ana shemeji kutoka Bukoba.kwa bei ya milioni mia moja.

Mkuranga ana kikampuni cha kuwanyonya wananchi anatoza ushuru hadi ukiri.pale kwenye geti vikindu.
MCHUKIA UFISADI JANA UMETOKEA UJAMBAZI TEMEKE NMB
Kaka endelea kumwaga mambo, nnatamani sana kumjua huyu mtu.
 
Back
Top Bottom