Tuition ya masomo ya sekondari kwa wanafunzi Lushoto mjini.

Ntahandinkimuhila

Senior Member
May 20, 2014
114
100
Wanaohitaji 'tuition' kwa masomo ya physics, chemistry, biology Na basic mathematics kwa 'form one' mpaka 'form four', au 'tuition' ya masomo ya physics, chemistry Na biology kwa form 5 & 6, Lushoto mjini, wawasiliane Na mwalimu kwa namba 0759 641 184.Topic nzima itafundishwa, maswali yatafanywa Na mazoezi yatatolewa kwa mwanafunzi na kusahihishwa Na mwalimu.
 
NB : Mada ya kwanza itasomwa bila kulipia (bure), mwanafunzi atalipia mada zitakazofuata (km ataendelea kusoma mada zingine). notices zitatolewa pia.
 
Back
Top Bottom