Tuishtaki serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuishtaki serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by akili, Dec 3, 2008.

 1. a

  akili Member

  #1
  Dec 3, 2008
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MIAKA kati ya 1967-1995 babu, bibi, baba, mama, kaka, dada na penginepo hata sisi wenyewe tulichan gia kuanzishwa na kuendeshwa kwa yale yaliyokiitwa mashirika ya umma.

  Katika awamu ya tatu ya BWM, serikali iliuza na kubinafsisha mali kadhaa. Je, mwenzangu wewe ulilipwa chochote.

  Maana mali ya umma si ilikuwa yetu yote. Sasa iweje wachache wakajigawia mali na fedha yote na sisi kuambulia patupu.

  Ninaona hapa tuna KESI NZURI tu ya madai ya fedha zetu kuliwa na wale tuliowaamini watatunza amani yetu.

  Mnasemaje, wenzangu, je, hapa hatutatoka na chochote tukiishtaki serikali?
   
  Last edited by a moderator: Dec 3, 2008
Loading...