Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
Ni hotuba nzuri na iliyokidhi vigezo vyote ambavyo vinatoa mwelekeo wa serikali yake kwa 201-2015, hakuna alicho acha kwenye hotuba yake hii. Amezungumzia utawala bora, Muungano, Michezo, Maslahi ya watumishi serikalini, Ushirikiano wa kimataifa,Wajibu wa Bunge, Muundo wa baraza lake la mawaziri na watu wenye sifa gani, Ukusanyaji wa mapato ya serikali nk.
mzee wa kuthink Twice,a.k.a bongo lala or memory corrupted! Unakidhi matakwa kufikiria ivo maana unachelewa ku analyse mpaka uthink twice. Ivi umesoma watu watu wakijadili kuwa rais kaacha A,b,c...Watu hawajadili alichokiacha bali wanajadili alichokileta mbele za wenye akili timamu wanaothink once to the point, kwamba kati ya aliyoyasema ni maneno sanifu ya kiswahili yenye ladha ya siasa na si maendeleo ya nchi. Cha muhimu hapa aliongelea nature yake-UDINI kitu ambacho amekidhihirisha kwa uteuzi wa ma ustadhi3 immediately kabla ya kuhutubia bunge! Na ili unasubiri kuthink twice? Du,si uli fresh au scanning utathink twice mpaka lini?