tuipende nchi yetu kwanza.

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
nipo njiani kutoa 3D cartoon niliyoitengeneza mwenyewe, ya kiswahili na itakayowafaa zaidi watoto wa kitanzania
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana...ni mwanzo mzuri kwa kweli....yaani inasikitisha tanzania hatuna katuni za kiswahili!!!Nitakuwa even more impressed hizo cartoons zikiongea KISWAHILI mkuu ...BTW:rockon: nimependa juhudi zako!!!
 
Thanks Kaka kwa kunipamoyo, sio muda mrefu itakuwa tayari, Bado kuingiza sauti ndio kazi ngumu iliyobaki.
 
majata big up,
ntakua mchoyo nisipotoa pongezi juu ya uzalendo wako.
Niliona vikaragosi (cartoon) vya 3D kutoka Kenya vya matangazo ya kampuni za simu. Nilipatwa na wivu juu ya ubunifu ule leo umeliondoa simanzi mkuu. Keep it up, tia sauti na lafudhi kabisa ya kwetu.
 
Thanks Mwanahisa kwa kunipamoyo mkuu!!!..
 
Hongera sana majata kwa hatua uliofika,big up kwa sana
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana...ni mwanzo mzuri kwa kweli....yaani inasikitisha tanzania hatuna katuni za kiswahili!!!Nitakuwa even more impressed hizo cartoons zikiongea KISWAHILI mkuu ...BTW:rockon: nimependa juhudi zako!!!

Uledi like this
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom