LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,134
- 11,127
Kwa mujibu wa Millard Ayo:
Idadi ya waliofariki kutokana na Virusi vya Corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,185 hii ni kwa China pekee, wagonjwa 11,977 wako mahututi, wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wameongezeka na kufikia 14,376.
Habari zilizothibitishwa pia ni kuwa biashara nyingi na viwanda vingi vimefungwa nchini china, uzalishaji wa bidhaa nyingi umesimama kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa, China imeanza kuanguka kiuchumi kwa mujibu wa ripoti zao wao wenyewe
Bidhaa nyingi Tanzania na wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanategemea soko la China kununua bidhaa zao sababu ni bei nafuu, china ikiendelea kuathirika tutegemee hata hapa nchini biashara nyingi zinaweza kuathirika au kufa sababu ya kukosa bidhaa zinazotoka China
Sent using Jamii Forums mobile app