Tuikumbuke 2016

Totos Boss

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
5,456
1,565
Wana jamvi tumebakisha Sikh kadhaa kuuaga mwaka 2016. Ikiwa una jambo la firaha au huzuni lililokufika 2016 tuwekee hapa. Liwe la kwako binafsi.
1).05/04/2016 nimepata mtoto wa pili wa kuime hadi sasa anaendelea vizuri.
 
...mi nna furaha mixer huzuni!.,
..nimepata mtoto wa 6 ila 'jambazi' la 5 nami nilitaka ka kike sasa!
..itabidi niongeze mwingine,blalbasket!
 
Back
Top Bottom