Tuijadili Picha hii.....

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
kikweteccmki.jpg






waheshimiwa mnaionaje hii ilivyokaa ya mkuu wa nchi ya UFISADI na MAUJAJI?
 
anawaza madudu ANAYOYAFANYA,au may b hapo anawaza share anayoisubiri kutoka malipo ya dowans:behindsofa:
 
kikweteccmki.jpg






waheshimiwa mnaionaje hii ilivyokaa ya mkuu wa nchi ya UFISADI na MAUJAJI?

Last Time I Saw This Guy Real Thinking. Ni Kweli Anasoma Mikataba Yote na Maamuzi ya Taifa Kabla Haja Sign? Inaonekana Something Real Wrong With This Guy. I Can't Explain...
 
Hata kuongea tu kwa kawaida, Kikwete ni lazima asome. Kama huamini, angalia akiongea na Obama.

Hapa Slaa alikuwa HANA MBAVU, hahahaaaa, "hata na mie lazima usome...?" Kikwete anashangaa......
 
Back
Top Bottom