Tuijadili kauli hii ya waziri Lukuvi inafikirisha sana

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
"Nawaomba wanachi wa Jimbo la Ismani kumwombea Rais wetu Dkt. @MagufuliJP, anafanya mambo mengi ambayo marais wengine wameshindwa, hakuna rais mwenye uwezo wa kujizuia na tamaa ya mali za serikali,kama Dkt. Magufuli" Mh. William Lukuvi, Mbunge wa Jimbo la Isman na Waziri wa Ardhi

Maoni yangu binafsi

Nimeona hiyo kauli ina ukakasi kwamba maraisi waliopita wao hawakujizuia na tamaa zao upande wa mali za umma mwisho wa siku watu watahoji kwa nini hawakanatwi wakati walikuwa wakijichotea mali za umma?

Chanzo: Dar mpya.
 
Watanzania tuchague yakuongea hasa viongozi je akiulizwa athibitishe hayo asemayo ataweza?
 
HANA SHUKRANI LUKUVI, MKAPA NA JK WALIMBEBA SANA LICHA YA KUWA AMEISHIA DARASA LA SABA ILA BADO ANAWADHARAU.
LUKUVI NI DARASA LA SABA WALIOCHUKULIWA NA TISS WAKAPEWA KOZI YA "JUNIOR COURSE" MIEZI 3 KISHA WAKAPELEKWA CHUO CHA CCM IHEMI KUSOMEA PROPAGANDA, SASA ANASAHAU ALIKOTOKA LEO ANAWADHARAU WALIOMFIKISHA HAPO.
ANASEMA MAGUFULI SIO FISADI!!! KAMA MAGUFULI SIO FISADI UGOMVI WAKE NA CAG(PROF. MUSA ASSAD) UMETOKANA NA NINI??!! JK ALIKUWA FISADI ILA ALIKUWA HAOGOPI RIPOTI ZA CAG HATA SIKU MOJA. MAGUFULI NI FISADI WA KARNE, TIME WILL TELL!
 
"Nawaomba wanachi wa Jimbo la Ismani kumwombea Rais wetu Dkt. @MagufuliJP, anafanya mambo mengi ambayo marais wengine wameshindwa, hakuna rais mwenye uwezo wa kujizuia na tamaa ya mali za serikali,kama Dkt. Magufuli" Mh. William Lukuvi, Mbunge wa Jimbo la Isman na Waziri wa Ardhi

Maoni yangu binafsi

Nimeona hiyo kauli ina ukakasi kwamba maraisi waliopita wao hawakujizuia na tamaa zao upande wa mali za umma mwisho wa siku watu watahoji kwa nini hawakanatwi wakati walikuwa wakijichotea mali za umma?

Chanzo: Dar mpya.
Ukiwatoa Nyerere, Kawawa na Sokoine nitajie kiongozi wengine waliojizuia kutamani Mali za umma?!

Lukuvi yuko sahihi kwa kuwa anaijua CCM na serikali kuliko wewe!
 
Katiba iliyopo ya mwaka 1977 ndio chanzo cha kulinda waliokuwepo madarakani na hata waliopo sasa .Katiba hawataki kuibadilisha maana inalinda masirai ya kila kiongozi aliyekuwepo na atakayeendelea.Hivyo hakuna haja ya mwanasiasa kujipendekeza anajuwa sheria inawalinda wote waliokuwepo na wasasa.
 
1566467104248.jpeg
 
Ukiwatoa Nyerere, Kawawa na Sokoine nitajie kiongozi wengine waliojizuia kutamani Mali za umma?!

Lukuvi yuko sahihi kwa kuwa anaijua CCM na serikali kuliko wewe!

Kwamba anajua kuna wezi ccm mbona anawatumikia sasa mkuu? Unakujua kweli ulichoandika kwamba na yeye ni mwizi
 
Ukiwatoa Nyerere, Kawawa na Sokoine nitajie kiongozi wengine waliojizuia kutamani Mali za umma?!

Lukuvi yuko sahihi kwa kuwa anaijua CCM na serikali kuliko wewe!
Kwahiyo huyu mwizi wa matilioni yeye ndio kajizuia kutamani mali ya umma wakati ndio mwizi kuliko wote waliomtangulia.
 
"Nawaomba wanachi wa Jimbo la Ismani kumwombea Rais wetu Dkt. @MagufuliJP, anafanya mambo mengi ambayo marais wengine wameshindwa, hakuna rais mwenye uwezo wa kujizuia na tamaa ya mali za serikali,kama Dkt. Magufuli" Mh. William Lukuvi, Mbunge wa Jimbo la Isman na Waziri wa Ardhi

Maoni yangu binafsi

Nimeona hiyo kauli ina ukakasi kwamba maraisi waliopita wao hawakujizuia na tamaa zao upande wa mali za umma mwisho wa siku watu watahoji kwa nini hawakanatwi wakati walikuwa wakijichotea mali za umma?

Chanzo: Dar mpya.
Njaa!
 
HANA SHUKRANI LUKUVI, MKAPA NA JK WALIMBEBA SANA LICHA YA KUWA AMEISHIA DARASA LA SABA ILA BADO ANAWADHARAU.
LUKUVI NI DARASA LA SABA WALIOCHUKULIWA NA TISS WAKAPEWA KOZI YA "JUNIOR COURSE" MIEZI 3 KISHA WAKAPELEKWA CHUO CHA CCM IHEMI KUSOMEA PROPAGANDA, SASA ANASAHAU ALIKOTOKA LEO ANAWADHARAU WALIOMFIKISHA HAPO.
ANASEMA MAGUFULI SIO FISADI!!! KAMA MAGUFULI SIO FISADI UGOMVI WAKE NA CAG(PROF. MUSA ASSAD) UMETOKANA NA NINI??!! JK ALIKUWA FISADI ILA ALIKUWA HAOGOPI RIPOTI ZA CAG HATA SIKU MOJA. MAGUFULI NI FISADI WA KARNE, TIME WILL TELL!
Kama ni TISS hawa jamaa tena wa kizazi chao ni wakweli mno, anasema anachokijua
 
Katiba iliyopo ya mwaka 1977 ndio chanzo cha kulinda waliokuwepo madarakani na hata waliopo sasa .Katiba hawataki kuibadilisha maana inalinda masirai ya kila kiongozi aliyekuwepo na atakayeendelea.Hivyo hakuna haja ya mwanasiasa kujipendekeza anajuwa sheria inawalinda wote waliokuwepo na wasasa.
Mkuu ukishaitaja hii katiba ya 1977 ambayo hata Nyerere mwishoni wa uhai wake alikuwa anaiponda kwa kusema inaweza kuwaletea raisi ambae ni dikteta na hakuweza kuiondoa pamoja na ushawishi wake wote ndani na nje ya chama chake halafu uone TBC wanavyomsujudia na wanasiasa wanafiki huwa inaniudhi sana nchi hii tuna shida ssna.
 
Back
Top Bottom