Leo nimebahatika kuona usaili wa wanaoomba kuwa MWENYEKITI wa Tume huru ya Uchaguzi yaani SEARCH FOR IEBC CHAIR.
Mimi binafsi ninawapongeza sana jinsi usaili unavyofanyika kwa uwazi, weledi na wananchi wote wanashuhudia Live (Mushabara).
Wagombea kweli ni wasomi sana katka nyanja mbalimbali na wanaulizwa maswali yanayohusu maisha yao, majuumu yao pindi akichaguliwa.
Ni wakati muafaka tukawaiga wenzetu wa Kenya katika vyeo vnavyogusa maisha ya wananchi kuliko uteuzi. Bado usaili unaendelea.
Mtu anayetaka kufuatilia usaili huo atazame channel ya Citizen na aone mambo yanavyofanyika kwa uwazi bila upendeleo wowote.