Tuifahamu kanuni ya umiliki wa vitu tuliyopewa wanadamu (possession Law of nature)

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,678
106,786
SALUTE
Leo napenda nizingumzie kitu kinachoitwa Kanuni ya umiliki (Law of possession). By Default Mungu alipomuumba mwandamu alimpatia access ya kumiliki kila kitu kilichopoo duniani, kwahiyo binaadamu in nature tunazailiwa na umiliki wa vitu vyote vilvyomo duniani. Tukumbuke kua Binaadamu ndie kiumbe mwenye hadhi kuuubwa kuliko vyote wakifuatia malaika. Tukisoma kitabu cha mwanzo Mungu anasema….
MWANZO: 1:27-28.
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimuumba Mwanaume na mwanamke… Mungu akawaambia kua zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi na kuitiisha, mkatawale samaki wa baharini na ndege wa angani na kila kiumbe chenye uhai

Ukisoma hio paragraph utaona kua baada ya Mungu kuumba vitu vyote, kisha akamuumba binaadamu wa kiume na wakike. Wote wawili Mungu aliwapatia haki ya umiliki wa kila kitu lakini Mungu alimpa haki Binaadamu wa jinsia ya Kiume(Mwanaume) Kummiliki binaadamu wa jinsia ya kike (Mwanamke). Mfumo huu umewekwa miaka na miaka toka dunia kuumbwa, hakuna anayeweza kwenda kinyume ya mfumo huu, hata kama akienda kinyume lazima tu atarudii kwenye mfumo.
Niwape mifano kadhaa:
Mfano 1:
Mwanamke anaweza kuwa labda anapesa zake akaamua yeye hataki kuolewa/kuwa chini ya mwanaume hivyo akaamua atafute tu mwanaume wa kukaa nae, awe anamhudumia kila kitu ambacho mwanume anaweza fanya kwa mwanamke. Nakuapia Kama ni ndoa au mahusiano hayo hayawezi kudumu hata miaka 2, lazima waachane au mwanaume atafute mwanmke mwingine. Kwanini? Ni kwasababu by nature Mwanaume kaumbwa kumtawala mwanamke na sio kinyume chake, hivyo kinachofanyika ni kwamba mwanaume hata weza kuvumilia kumilikiwa au labda anaweza kubali kumilikiwa kwakua ana shida kadhaa lakini mwisho wa siku lazima mwanaume huyo ataenda kumtafuta mwanamke mwingine ambaye atakua chini yake. Lakini hata huyo mwanaume anayemilikiwa na mwanamke ipo siku His ambitions will outgrow his wife! Hapo mwanamke lazima tu pamoja na pesa zake atarudi chini na mwanaume anakuja kua mmiliki wake. That’s how our Genius GOD created Universe.
Mfano 2:

Hapa nitazungumzia kiujumla mwanamke na mwanaume; kama tulivyokwisha soma kua binaadamu wote tunazaliwa by nature tuna umiliki wa kila kitu ulimwenguni. Mfano unaweza ukapawe ruhusa na baba/mama/dada au kaka utumie simu yake kwa kwa muda wowote ila ipo siku ataichukua, hapo mtu huyo hawezi kuwa na furaha na kitu hicho. Au Mimi nina bando la data kwenye simu yangu kila siku nikamwambia mdogo wangu ambae ni mwanafunzi kua ukitaka kutumia internet muda wowote niambie Nikuunganise na wireless Fidelity (Wi-Fi), mdogo wangu huyo japo nimempa access hiyo muda wote deep down hawezi kua na furaha na internet hiyo. Lazima naye atataka awe anabando lake mwenyewe la data analomiliki...hivyo ndivyo ulimwengu ulivyo kila mtu anapenda kua na kitu amabcho anasema hiki ni CHAKWANGU.

Pia unweza kuona mtu wa kutoka familia yenye uwezo wa kimaisha, kila kitu nyumbani kipo, anachohitaji anapata, lakini mtu huyo ukaoona anafanya kazi mbalimbali kujiingizia kipato.
Tunarudi kule kule kua kila mtu anapenda na anafurahi zaidi kuwa na kitu anachosema kua hiki ni chakwangu.
Hili tukio lilitokea kwa binti wa aliyekua rais wa awamu ya 44 nchini United State Of America Barack Obama, Sasha Obama ni binti wa raisi wan chi kubwa duniani, kila kitu anapata ikulu,kila anachotaka baba yake anaweza kumpatia lakini aliona yote hayo si kitu alienda kufanya kazi ya Uhudumu kwenye Mgahawa…waweza kushangaa inakuaje mtoto wa mtu mkubwa na mwenye pesa kama huyu anawezaje kufanya kazi kama hiyo. Suala hili la sasha linaweza kuwa described katika nadharia mbalimbalii maybe mwenyewe anapenda kazi hiyo nk nk lakini Strong reason ni kwamba haijalisha ni upo kwenye familia yenye status ipi, all we fall under the same circle of possessing, kila mtu anapenda kua na kitu alichokivujia jasho ambacho akikaa chini anasema hiki ni chakwangu sichangii na mtuu au sio cha mtu Fulani.

Ni huu tu upuuzi wangu nimependa kushare nanyi. Hopefull unaweza kuwa na manufaa kwa namna yoyote ile. Ila ningependa niwaachie maneno hayo
”Attachement to the material is detachement from spiritual “ {unavyozidi kujishikiza kwenye vitu/mali ndivyo unavyozidi kujitenga na Mambo ya kiroho/Mungu}
-Doctor Strange in Avanger: Infinity War
1098749

Sasha obama akiwa kwenye sare zake za uhudumu wa Seefood Restaurant
….
SOURCE.
Kichwa changu na Kitabu cha Mwanzo.
~Da’Vinci
 
Labda ataedit uzi wake
Hawezi Huyo ' ni mfia dini mzuri tu
Kiukweli siwezi ku edit hapo kwenye Quote ya Scripture coz kituu kikishaitwa Kanuni maana yake kimewekwa na mtu fulanii! sasa mm haijalishi ww unaamini katika nini hasa..but nachukulia kwamba 86% ya binaadamu tunaamini katika uwepo wa Mungu hivyo wengi wape
 

Ujumbe mzuri.

Hapo kwenye mwanaume kummiliki mwanamke upo sahihi lakini nikwambie tu kuwa Kuna wanawake huwezi kuwamiliki, wapo strong na hawataki kumilikiwa..wanataka kumiliki vitu vikubwa na vya gharama ambavyo wakati mwingine mume aliye naye hana na Hana uwezo wa kuvipata, na hiyo hupelekea infiriority complex kwa wanaume wengi. Ingawa pia wapo wanawake ambao wakiwa na mali hunyanyasa mume.

Au anaweza asiwe na mali lakini kummiliki huwezi, mfano mzuri ni hawa wanawake wanaharakati wa mambo ya jinsia wengi wao hawajaolewa au Kama waliolewa wameachika. Ndivyo walivyo huwezi kuwabadili.. sijui kama wamekuwa wamezaliwa hivyo au ni mfumo wa malezi na elimu waliopitia.

Kumilikiwa kwa mwanamke ni kitu kizuri lakini isiwe manyanyaso, wanaume wengi wanatake advantage weakness ya mwanamke kumnyanyasa. Kumilikiwa kukiambatana na upendo kunakuwa na raha ya ajabu .
 
Meeyah,
Sawa mwanamke anaweza kummiliki mwanaume ila huyo mwanaume kamwe hatavumilia, mwanamke pekee ndio anaweza vumila..
Wale wanaharakati hua wana-man instincts ndio maana hawapendi kua chini ya mwnaune.

Btw baadhi ya wanaume wana overtake mamlaka hayo ya utawala waliopewa mwisho kuwafanya wake kama watumwa au ni kitu fulani ambacho kwenye jamii kazi yake ni kuzaa na kubaki akilea watoto.

Ila nanyi muelewe kua by nature inatakiwa kua chini ya mwanaume sio kujitutuma kujifanya mko juu
 
Back
Top Bottom