Tuichangie CHADEMA shs. 100,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuichangie CHADEMA shs. 100,000/=

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MdogoWenu, Nov 18, 2010.

 1. M

  MdogoWenu Senior Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 169
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Wakubwa,

  Nimefanya mahesabu madogo sana kwa kuchagua idadi ya wasomaji wa latest tread inayohusu CHADEMA.

  Thread niliyo-pick ni ile yenye heading "Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni ". Hii imeanza saa 01:39 asubuhi na sasa hivi naandika post hii ni saa 08:10 usiku. Hadi muda huu imeweza kusomwa na watu 2,865.

  Dr. Slaa siyo Rais na hivyo nime-assume weye hamu naye ni wapenzi wake. Mnaweza kuongeza assumptions nying tu ku-justify hilo lakini bado sidhani yangu na yenu ni legitimate justification. Ni estimates tu.

  Kwa estimate hiyo nikasema kama 70% ya hawa wasomaji ni wapenzi wa CHADEMA wenye uwezo wa kusoma internet basi si dhambi nikimini wanaweza kujibana na kuichangia CHADEMA shs. 100,000 kila miezi sita hadi June 2015.

  Na ikiwa hivyo basi hadi hiyo tarehe CHADEMA itakuwa imejikusanyia shs. 1,804,950,000.00 yaani zaidi ya Billioni moja na millioni mia nane. Bado kama asilimia 10 kufika billioni mbili kamili.

  Hao ni wakereketwa toka JF tu, tena waliosoma ile thread moja tu ya asubuhi. Bado hujaweka wana-JF ambao wangependa kutoa zaidi. Bado pia hujawaweka kina Sabondo wa waziwazi wasioogopa na bado akina Sabondo wa sirisiri yaani wale amabo akili zao zimeshiba ile kauli "ukitaka biashara ikunyookee njoo CCM".

  Mnakaonaje haka kawazo, jamani, kaboresheni kama kamepinda.

  Mimi kuanzia January 2011 yaani miezi miwili ijayo naanza program hiyo. Nikiwa hai hadi June 2015 nitakuwa nimeichangia CHADEMA shs. 900,000.00 yaani laki tisa.

  Zidumu fikra sahihi za demokrasia.
   
 2. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,058
  Likes Received: 4,628
  Trophy Points: 280
  Good idea, mm nipo tayari from January, i promise
   
 3. S

  Shamu JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hela siyo njia ya nzuri ya kampeni, kwa ajili ya kwenda Ikulu. Kumbuka, hela ndiyo mwanzo wa corruption, wizi, nk.
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Marekebisho kidogo. Number of views ni idadi ya mara ambazo hiyo thread imefunguliwa, mtu mmoja anaweza kufungua zaidi ya mara 50 kujibu posts.
   
 5. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,124
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Unaweza kukaa kwenye ibada na ukawachagia kwa swala.
   
 6. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  JAMANI MIMI SIPINGI HILO TWENDENI TUKAWAHOJI HAO MAFISADI YA CCM YALIYOJITWALIA MAMLAKA KWA UCHAKACHUAJI WA KURA ZE2 JUU YA WA2MIZI YA RASLIMALI ZE2 PIA JUENI PIA SIO WOTE TULIOPO HAPA TUNA UWEZO WAKUCHANGIA 100000 WENGINE TUNAISHI CHINI YA DOLA MOJA KWA SIKU,TUKILALA TUKIAMKA TUNAMSHUKURU MUNGU,YETU NIKUENDELEA KUMSHINIKIZA KANALI Jk ATEKELEZE AHADI ALIZOTOA WAKATI WAKAMPENI
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Linapokuja swala la pesa watanzania ni rahisi sana kuleta visingizio vya kulikwepa.
  Kampeni bila pesa haiwezi kufanikiwa.
  Just imagine wapiga kampeni inawabidi wasafiri from one point to another, inahitajika gharama ya usafiri.
  Kufungua matawi mapya pia inahitajika pesa nk.
   
 8. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tanzania ni tajiri sana ila mali ze2 zinawafaidi mafisadi wachache wa ccm lazima tutangaze vita zidi ya mafisadi wakija majimboni wakituambia kidumu chama tuwajibu peoplez power ndo wajue tumechoka kudanganywa na uchakachuaji wao naamini TANZANIA BILA CCM NA MAFISADI INAWEZEKANA SASA.
   
 9. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  JAMANI MIMI SIPINGI HILO TWENDENI TUKAWAHOJI HAO MAFISADI YA CCM YALIYOJITWALIA MAMLAKA KWA UCHAKACHUAJI WA KURA ZE2 JUU YA WA2MIZI YA RASLIMALI ZE2 PIA JUENI PIA SIO WOTE TULIOPO HAPA TUNA UWEZO WAKUCHANGIA 100000 WENGINE TUNAISHI CHINI YA DOLA MOJA KWA SIKU,TUKILALA TUKIAMKA TUNAMSHUKURU MUNGU,YETU NIKUENDELEA KUMSHINIKIZA KANALI Jk ATEKELEZE AHADI ALIZOTOA WAKATI WAKAMPENI
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  not every money ni mwanzo wa corruption... basi usinunue hata unga ukisingizia hela ni mwanzo wa corruption au usipokee pia mshahara

  The money is useful as long as it is clean and the sources of it are clearly known... pesa hii si sawa na yale mabilioni ya akina shamte ya kutukana watu
   
 11. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,124
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Unaishi chini ya dola moja halafu usiku huu saa tisa unapata bandwith ya internet!

  Hebu nifafanulie mkuu, maana dunia ya leo usishangae kwanza kabla ya kuuliza.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  UBUNIFU NA MSHIKAMANO NI SILAHA MUHIMU ZAIDI: TUCHANGIE MABADILIKO NCHINI MWETU

  Mabadiliko ya KATIBA yanakuja Tanzania kwa Nguvu zaidi ya Tsunami ilivyokua nchini Indonasia. Lakini wenye mapenzi na Uzalendo na taifa letu ni lazima tukaligharamie kwa HALI na MALI sasa hivi. Pendekezo hilo ni kwa kuzingatia kwamba chini ya jua hakuna jambo lolote jema lisilo na gharama.

  Tukizingatia ukweli kwamba CHADEMA kama ambavyo ilivyo kwa vyama vingine vichache visivyo matawi ya CCM hapa nchini, vina ufukara mkubwa kifedha kama ambavyo ilivyo kwa Umma wa Tanzania, waliofilisiwa na MAFISADI, ambao chama hiki kinawakilisha sauti yao hadi sasa, tuchangie kwao KWA AJILI ya kuleta MABADILIKO haya kwa haraka kama ambavyo tunavyotamani yaweyataka.

  CHADEMA, shirikisheni (1) Wapinganaji Wanaojulikana, na (2) Azasi za Kirai za kweli zenye Historia njema katika kutetea MASLAHI YA TAIFA, kama maji na mafuta taa Wanafiki watajulikana sio kipindi kirefu, kisha MTUFUNGULIE AKAUNTI HARAKA kwa ajili ya kuchangia mabadiliko. Akaunti kama hiyo iitwe 'Changia Shilingi kwa Ukombozi wa Taifa Lako'. Baada ya hapo mtutangazie ijulikane na usimamizi wa fedha hizo iwe wazi na salama.
   
 13. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I've already contributed to CHADEMA and will continue to do so until CCM is out of office.
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Unaweza kuchangia kiasi chochote sio lazima uchangie kilo nzima. Hata mtoa mada alitoa tathmini ya wasomaji wa JF tu, ambayo nina hakika ni chini ya 5% ya wtz. Kumbuka CCM wanapesa nyini kutoka kwa mafisadi, wanaweza kufika popote kupiga kampeni. Hivyo tukiichangia CHADEMA kwa nguvu zetu wataweza kufika sehemu nyingi kama si nchi nzima. Vile vile watakuwa na kazi ya kulipa fadhila kwa watanzania tofauti na ccm ambayo itakuwa inalipa fadhila kwa mafisadi.
   
 15. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mkuu hii internet ya bure toka zain tanzania from 12am to 6am pia ujue zain tz iko na internet ya bei nafuu zaidi 400mb kwa tsh 2500 kwa mwezi hivyo usishangae mkuu huu ndo ukweli wa mambo na wengine hatuna imani na maisha yajayo ndani ya miaka mitano ya jk.
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wazo lako ni zuri na naliunga mkono kwa 100%
   
Loading...