Tuichanganue miaka 50 ya uhuru WA Tanganyika

msanjos

New Member
Jul 1, 2011
1
0
Ni ukweli usiopingika kuwa tangu 1961 hadi sasa Tanganyika imepiga hatua kubwa kiuchumi hasa ukizingatia kuwa nchi hii imetawaliwa na wakulima na watu wengi wasiokuwa na kazi wala ajira za kulipwa na serikali au mashirika.

Katika uchumi tangu 2001 hadi 2011 ni kati ya nchi 20 zinazokua kwa kasi, yaweza kuwa sawa kwani kipato cha matajiri na mafisadi ni kikubwa hivyo hurusha pato la siku la watanzania maskini, kwa kipimo hicho sawa wametuweka juu japo sisi maskini twaporomoka. Lakini swali la kujiulizaa ni "je, maendeleo tuliyonayo kwa miaka 50 ndiyo yaliyotakiwa tuwenayo kwa kiwago na ubora huu kwa kipindi chote hiki?"

Ukichunguza kwa umakini jibu sivyo kwani china, kenya Brazil tulikuwa nunakaribiana nazo kiuchumi lakini sasa wao wako mbali, tatizo nini basi. jamani watanzania nchi hii haina viongozi bora kwani viongozi ni currupts hivyo nchi huliwa na wachache ambao huishi kama wako peponi jaman waweza kwenda peponi bila kufa? Mbona hawa jammaa wanatanua bila kazi? tubadilike ufisadi ndio umeifanya nchi hii kukua kidhaifu. Ikumbukwe kauli ya nyerere alisema serikali corrupt haikusanyi kodi bali huwanyonya na kukimbizana na walalahoi mabararbarani tu! ndivyo ilivyo tanzania.

Ni jukumu letu sasa kuibadirisha tanzania tuchague viongozi bora kwa manufaa ya umma. Eeee! mtanzania badilika basi hata kama wewe huna shida kunawenzako tunataabika na ukapuku huu tutazameni basi kwa kuishawishi serikali kukataa rushwa,jueni kuwa kidole kimoja hakivunji chawa, tena kwangu leo kesho yaweza yakawa kwako.

Tupendane watanzania na tuipende nchi yetu UZALENDO NDIO UTAKAOTUTOA MIKONONI MWA MAFISADI.
 
mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,569
185

Nimependa hapo red kuwa tubadilishe uongozi(ccm) na uzalendo ndio utaotutoa mikononi mwa mafisadi (ccm)
 
NURFUS

Member
Nov 27, 2009
31
1
Wanajamii mi bado sijaelewa mbona matangazo ya kwenye tv na redio nasikia wanasema tunakaribia kuadhimisha miaka hamsini ya uhuru wa tanzania, mara huku mnaniambia miaka hamsini ya uhuru wa tanganyika, mnatucanganya banaa, ila nakubaliana na miaka hamsini ya uhuru wa tanganyika, lkn si wa tanzania kwani ni ukweli usiohitaji uwe profesa kuwa tanzania haijafikisha miaka hamsini kwani ilizaliwa mwaka 64 mpaka leo ni miaka 47 sasa huo uhuru wa miaka hamsini ya tanzania unatoka wapi au kuna nchi nyingine hapo inaitwa tanzania mie siijui, au kuna mtu atunamsaidia kuahimisha miaka hamsini yake
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom